Hawa voda wananichosha

Hawa voda wananichosha

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Hv jaman mbna me cku kama mbil zmepita yan niknunua kifurush wanakomb muda mfupi wanamaliza wakati zaman nilikuwa niknunua 25mb nilikuwa hadi na bakisaha,na huwa c downloda ni kwaajil ya ku surf tu.

Au nawenyewe wamepandsha naul????,maana cwaelewelewi,kuna cku nikanunua data kama 50mb yan ndan ya 1h kwisha wakat natumia kisimu tu.

Naomb anayejua au kama tatzo n cm yangu anisaidie.
 
mkuu unatumia browser gan, simu gan, matumizi yako yapi, kuna vitu vingi tu kuwa muwazi hapa tunasolve matatizo si sehemu ya kulalamika
 
Kwa kweli voda imeniboa. Tarehe 7.4.2013 nilinunua package ya mwezi (BB) ambapo nilikubaliwa kwa charges za 30,000/-, kushangaza mpaka hivi sasa sijapata any connectivity.
Helpline yao mara 2 nimewasiliana nao, unatumiwa receipt # ya tatizo lako kupokelewa, ilhali imeshachukua zaidi ya 24hrs pasipokuwa na rectification yoyote ya tatizo husika.
Nini mfanyacho voda?
 
Mimi nilidhani ni kwangu pekee, nimenunua modem yao ambayo huw anaitumia nikiwa remote areas. Hawa jamaa wanavyotafuna hawana hata huruma, nikiweka Tsh.2000/= na najiunga na VOda cheka yao kifurushi cha internet kwa Tsh. 1000 unapata MB 75 ambayo haifiki popote ndani ya 30-45 minutes kushney tofauti na nilivyokuwa Airtel.
 
sio siri MB Huwa zinakatika fasta kama unatumia voda.. Fanya kununua MB 5.. [unatumia simu..] then usidownload.. Instead surf uone zinavyopepea..
Au nunua zile MB 50.. [zilikua 50 japokua sina uhakika siku hz niaje]..za mwezi.. Ucheki zinavyopepea. When compared to ada mitandao
 
Mimi sasa nimeamua kutumia Airtel ya tosha coz natumia 3000/- napata dk 175, sms 1400 na MB 500 hizi MB natumia kwenye pc na simu yani natumia kwa wiki nzima wala simalizi zote air time sms na hizo MB. Nafikiri jaribu Airtel yatosha
 
mkuu unatumia browser gan, simu gan, matumizi yako yapi, kuna vitu vingi tu kuwa muwazi hapa tunasolve matatizo si sehemu ya kulalamika

Natumia opera min na ucbrowser,ma phne is huawei 8185
 
Mimi sasa nimeamua kutumia Airtel ya tosha coz natumia 3000/- napata dk 175, sms 1400 na MB 500 hizi MB natumia kwenye pc na simu yani natumia kwa wiki nzima wala simalizi zote air time sms na hizo MB. Nafikiri jaribu Airtel yatosha

ningeweza kutumia kama wewe MB 500 per week ingekuwa raha sana simu tu kwa siku na kata MB 100
 
anyway tunatofautiana matumizi mimi mfano natumia kwenye mobile na kwenye pc laikni last week nimetumia kama MB 150 tu kwa week nzima na nimeshindwa kuzimaliza. leo nimenuua tena za week nzima ambazo zitaisha April 20, 2013. any way waweza kuchukua pia ile shilingi 6000 ambayo unapewa dk 275, sms bila kikomo na GB3 za internet. tena kama simu yako inatumia whatsup pia unatuma sms bure. jaribu huku pia kama matumiz yako ni makubwa.
 
haya matatizo sisi wengine hayatupati
 
ningeweza kutumia kama wewe MB 500 per week ingekuwa raha sana simu tu kwa siku na kata MB 100
duh, kwa week nna 2Gigs kwenye sim, kwenye Modem kuna Unlimited and still its not enough! God help me out of this addiction
 
on top of wat u got, bado naamka saa kumi ya usiku nikimbie pale Mdegree nikashikilie wifi ya speed za ukweli. & sio kwamba nina usafiri wa uhakika, ni mguu mpaka pale.. :ranger:
 
teh teh
 
hahah asee, hiv asubuh inakua poa enhh!‎؟
 
Hv jaman mbna me cku kama mbil zmepita yan niknunua kifurush wanakomb muda mfupi wanamaliza wakati zaman nilikuwa niknunua 25mb nilikuwa hadi na bakisaha,na huwa c downloda ni kwaajil ya ku surf tu.

Au nawenyewe wamepandsha naul????,maana cwaelewelewi,kuna cku nikanunua data kama 50mb yan ndan ya 1h kwisha wakat natumia kisimu tu.

Naomb anayejua au kama tatzo n cm yangu anisaidie.

smu yako itakuwa niya mchina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom