Hawa voda wananichosha

Hawa voda wananichosha

hahah asee, hiv asubuh inakua poa enhh!‎؟

huwa nikienda for about 2hours natoka na 6+ GB. naongelea speeds za 3MB/s (MB/s not mbps). leo yenyewe nilichelewa na kufika pale around saa sita, nimekamata 1-1.5MB/s mpaka naondoka. chezea wifi ya UDSM
 
saa sita noon, saa sita midnight?
 
Hata mie washanubore vya kutosha nimerudia kabaaang
 
anyway tunatofautiana matumizi mimi mfano natumia kwenye mobile na kwenye pc laikni last week nimetumia kama MB 150 tu kwa week nzima na nimeshindwa kuzimaliza...

Dah, si mchezo mkuu, kama vile nakonea donge! yaani wiki nzima simu na pc umezishindwa 150MB.
 
saa sita noon, saa sita midnight?

hahaha, inaweza kuwa saa sita usiku?? mida yangu kufika pale ni 4-5am. sometimes nachelewa nafika 6 mpaka 7 ila inakuwa sio issue then as wanakuwa washaanza kuchezea pale UCC na speeds zinashuka
 
Tujifunze kuwa realistics, network speed inapimwa kwa Mb sio MB, kama uko kwenye IT refer tofauti ya "byte na bit"

Kueleza watu unapata connection ya 3MB/s eleza pia ISP ni nani na una connect through which technology

huwa nikienda for about 2hours natoka na 6+ GB. naongelea speeds za 3MB/s (MB/s not mbps). leo yenyewe nilichelewa na kufika pale around saa sita, nimekamata 1-1.5MB/s mpaka naondoka. chezea wifi ya UDSM
 
Tujifunze kuwa realistics, network speed inapimwa kwa Mb sio MB, kama uko kwenye IT refer tofauti ya "byte na bit"

Kueleza watu unapata connection ya 3MB/s eleza pia ISP ni nani na una connect through which technology

kweli nilitakiwa niandike Mb & not MB, ila nilikuwa naweka msisitizo :biggrin:. kupatikana kwa hizo 3Mb/s ni very possible, nikiamkia hiyo net nitakuwekea na screenshot kabisa. as to the ISP, sio internet yangu, so am not privy to releasing such info, ila goodguy anajua what am referring to, na ninatumia uTorrent
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom