Evans Martin
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 156
- 36
Jamani kwa anayefahamu makao makuu ya TAKUKURUyalipo kwa hapo Dar naomba anielekeze plz.!
Karibu na makao makuu ya jwtz au diamond jubilei. Nenda kaulizie maeneo hayo
asante sana ndugu kwa kunipa mwongozo huo.! ubarikiwe sana
Kwa maelekezo ya hao wadau wote ni mazuri sana yaani.maeneo hayo hayo uliza Agha Khan University basi jua wazi ni jirani tu hapo.
kwani gari za wapi zinapita mitaa hiyo kama ukiwa unatokea kariakoo
Panda mpaka mhimbili coner/hospt, uliza karenga au urambo street maeneo hayo hayo utaoneshwa kidogo kuna kaukaribu....