Hawa paka niwafanyaje?

Hawa paka niwafanyaje?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau jirani yangu anapaka zaid ya mmoja na wanapenda tembea sana juu ya bati wakat wa usiku kutokana mfumo wa mabati yetu ulivyo Naomba msaada wa tech ya kisasa au local one nifanye nini ilikuwastopisha au kuwatisha hawa paka wanaopitapita huku batini?
 
Back
Top Bottom