Hizi sura kavu zimekauka mno. wanaume wachaga wengi wana rangi alafu
visura ukikuta boflo kumtofautisha na shori mtihani. hawa watakua wakenya hawa teh teh teh
Ni vigumu kujua kuwa ni wanawake au wanaume. Mtoto anapozaliwa ni kitu kimoja tu huangaliwa kujua kama ni me au ke. Bahati mbaya kwenye picha hii kitu hicho hakionekani.