Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 845
Habari Wakuu!!!
Napenda kuanza kwa kueleza moja ya kazi ya mbunge ni kuikosoa serikali:
Hii ni kazi ambayo mbunge huifanya lwa Lango la kuiwezesha serikali kutekeleza Majukumu yake kwa maslahi mapana ya taifa letu..
Mbunge si adui wa serikali, bali ni kiunganishi cha wananchi na serikali....
Katika kutekeleza Majukumu yao WABUNGE wapo ambao hawachangii chochote wakiwa bungeni na hata Sijawahi waona wakisema chochote.. Ila wapo WABUNGE ambao husimama kwa maslahi mapana ya nchi...
Kwangu mimi Naomba niwataje wabunge ambao wametekeleza kazi zao kwa kipindi hiki cha miaka miwili
1:Mh.Tundu Lisu-Makinikia, bombardier n TLS
2:Mh.Zitto kabwe- Uchumi
3:Mh:Hussen Bashe-uchumi
4:Mh:Nyalandu-haki za binadamu
5:Mh:Nape Nauye-uwekezaji wa serikali
Wakuu kwa kuwa bunge halirushi live Basi naomba kama una vyanzo vya taarifa za wabunge waliotema cheche tuje...
Nawasilisha
King
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app