Hawa ni mama na mtoto wake

Mtoto wa kiume huanza kupata hisia za kutamani wanawake kwa kumtamani mama yake kwanza. Ndiyo maana ni rahisi kusikia mtoto akisema 'nikiwa mkubwa nitamuoa mwanamke mzuri kama mama'. Japo hiyo kitu hupotea mtoto anapojitambua!
Sikubaliani hata kidogo na hoja yako. Sisi wote tumepitia utoto na mimi binafsi nakumbuka yote niliyopitia na katika kumbukumbu zangu zote tokea nilipokuwa na miaka 4 mpaka leo sikumbuki kama kuna siku niliwahi kumtamani mama yangu. Ninachokumbuka, wakati nikiwa na umri huo, nilitokea kumpenda sana binamu yangu na nilikuwa namfeel mbaya. Lakini mama, haikuwahi kuingia akilini mwangu hata kidogo. Sijui lakini, labda wewe hiyo hali ilikutokea.
 
Stage za makuzi ya kisaikiolojia siyo uniform. Kwa wengine vipindi vya makuzi yao ni vifupi sana ila kwa wengine ni virefu kuweza kuonekana dhahiri. Hiyo yote huchagizwa na mazingira yanayomzunguka mtoto husika.
 
Nikwambie kitu. ...nikikuta sehemu yyte umecomment kingese. .....lazma nikuti. ...e kidole cha . ...kota...ilimradi umekuja humu huwezi nizuia kukoment bwisi ww
 
<<< WEMA sepetuka ANGEKUWA na MTOTO nae Angeiga tuuuuu HAYA ninamkubali saana kwa kuiga nga-ji-u>>
 
Mara nyingi mashoga halishwa kwa mtindo huu, Mtoto Wa kiume anaanza kutamani nae awe kama mama
 
Yesu wangu, Mkuu unasema kweli au unatania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…