Hawa ni mama na mtoto wake

Mtoto wa kiume huanza kupata hisia za kutamani wanawake kwa kumtamani mama yake kwanza. Ndiyo maana ni rahisi kusikia mtoto akisema 'nikiwa mkubwa nitamuoa mwanamke mzuri kama mama'. Japo hiyo kitu hupotea mtoto anapojitambua!
Sikubaliani hata kidogo na hoja yako. Sisi wote tumepitia utoto na mimi binafsi nakumbuka yote niliyopitia na katika kumbukumbu zangu zote tokea nilipokuwa na miaka 4 mpaka leo sikumbuki kama kuna siku niliwahi kumtamani mama yangu. Ninachokumbuka, wakati nikiwa na umri huo, nilitokea kumpenda sana binamu yangu na nilikuwa namfeel mbaya. Lakini mama, haikuwahi kuingia akilini mwangu hata kidogo. Sijui lakini, labda wewe hiyo hali ilikutokea.
 
Stage za makuzi ya kisaikiolojia siyo uniform. Kwa wengine vipindi vya makuzi yao ni vifupi sana ila kwa wengine ni virefu kuweza kuonekana dhahiri. Hiyo yote huchagizwa na mazingira yanayomzunguka mtoto husika.
 
Huyu boya si mara ya kwanza kunichokonoa..i have never quoted his post hata siku moja.....namshangaaa...

Nilichoandika pale juu its just a joke i can never be stupid kupenda upuuzi wa yule mama...waelewa wa lugha wameelewa
Nikwambie kitu. ...nikikuta sehemu yyte umecomment kingese. .....lazma nikuti. ...e kidole cha . ...kota...ilimradi umekuja humu huwezi nizuia kukoment bwisi ww
 
<<< WEMA sepetuka ANGEKUWA na MTOTO nae Angeiga tuuuuu HAYA ninamkubali saana kwa kuiga nga-ji-u>>
 
Mara nyingi mashoga halishwa kwa mtindo huu, Mtoto Wa kiume anaanza kutamani nae awe kama mama
 
Wanawake wengi siku hizi wanawabusu busu sana watoto wao wa kiume na sio kosa kumbusu mtoto lakini ni lazima ujue ni mahali gani katika mwili wake unatakiwa kupabusu. Mwanamke huwezi na haitakiwi kumkiss mtoto wako wa kiume kwenye midomo(Lips), vivyo hivyo na mwanaume huna ruhusa kumkiss mtoto wako wa kike kwenye lips hata kama ni mdogo namna gani.
Huyo mama kwenye hizo picha amevuka mipaka ya maadili kwa mtoto wake na imefika mahali unaona hata mtoto naye sasa amemshika makalio. Hii ni mbaya sana, lakini sishangai hata kidogo sababu wapo wanawake wanaofanya mapenzi kabisa na vijana wao wa kiume. Na akina baba pia kila siku tunasikia wanakula mabinti zao.
Yesu wangu, Mkuu unasema kweli au unatania
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom