Hawa ni Majamaa na 3 na ugali

Hawa ni Majamaa na 3 na ugali

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Majamaa wa3 walishindana kula ugali na mboga ya maajabu
wa 1 alilukula sinia la ugali na maji lita 16 kama mboga
wa 2 alikula cnia la ugali na chumvi pkt 10 kama mboga
wa 3 ye akaamua kuagiza kisahani kidoogo cha ugali na masinia kumi mengine ya ugali akiyatumia ka mboga
 
  • A%20S%2013.gif
    Haiwezekaniiiiii

 
duh!! ugali ndo mboga!! wa mwisho katisha
 
Back
Top Bottom