Hawa ni akina nani hospitalini, msaada please

Hawa ni akina nani hospitalini, msaada please

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,027
Reaction score
104,500
Hwa wanapohitimu wanafanya kazi mahospitalini kwa nafasi zipi?
TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING= je ni sawa na nurse assistant/ attendant

TECHNICIAN CERTIFICATE IN MEDICAL LABORATORY TECHNOLOGY= je ni sawa na lab assistant/attendant

TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE= huyu ndiye nani maana Rural medical Aid ilikufa zamani, ni nani hawa mahospitalini
 
Hyo wa kwanza n Nes levo ya chet wanaitwa Enrolled Nes (EN),,Hyo 2 n fund maabara msadiz ngaz ya chet na wa mwisho n Tabibu msaidiz..wote wanafanya kaz sekta ya Afya,,hao manes utawakuta ad Hosp za mkoa,,

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
asante tabibu msaidizi kweli siku hizi wapo? Mbona siwaoni mahospitalini, tunawaona kuanzia ngazi ya CO i.e Clinical officer
 
Point y msingi n kwamba wote hao wanafanya kazi moja kwenye kila kitengo ila wanatofautiana tu uwelewa na ujuzi mfano clinical assistant anaweza kukaaa OPD au kuzunguka round kama MD ila itakapotokea kashindwa case ndo anahitajika MD
 
Back
Top Bottom