Habarindiyohiyo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 263
- 13
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.
Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.
ningekuwa mimi na ngumbi ningefuata ushauri wa salakana wa moshi mjini wa ccm hata uchaguzi ukirudiwa leo hii utashinda kama jawabu ni NO why contest ni kuwapotezea muda wananchi tu. sababu zote atazozitoa ngumbi haziwezi ku justify tofauti kubwa ya kura nyingi namna ile.
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.
Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.
Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.
mahakama ya kazi? hii ni kesi inayohusu nini?Kesi hiyo itasikilizwa katika mahakama ya kazi iliyopo mjini jirani na vyuo vya CBE na DIT kuanzia saa 3 asubuhi.
Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo aonekane.
Inshort tunajuta kumchagua kuwa mbunge na hatutorudia kosa hili kamwe na yeye anajua hili.
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.
Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.
Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo aonekane.
Inshort tunajuta kumchagua kuwa mbunge na hatutorudia kosa hili kamwe na yeye anajua hili.
Kesi hiyo itasikilizwa katika mahakama ya kazi iliyopo mjini jirani na vyuo vya CBE na DIT kuanzia saa 3 asubuhi mahakama ya kazi? hii ni kesi inayohusu nini?
Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo aonekane.
Inshort tunajuta kumchagua kuwa mbunge na hatutorudia kosa hili kamwe na yeye anajua hili.
Kwani Mnyika naye alikimbia na masunduku ya KURA kama Dk. Makongoro Mahanga? CDM mwaka huu wana kazi kwani baada ya kuikombea Arumeru itabidi waende tena Segerea. Sidhani kama Makongoro atapona? Waziri mzima anaiba masanduku ya kura?