bone 2 shine
Member
- Oct 5, 2018
- 87
- 31
Wakuu poleni na majukum ya kitaifa..Niende moja kwa moja kwenye mada yangu familia y2 tumezaliwa watoto wengi Kidogo lkn hatuchangia wote baba na mama mmoja kutokana na hali hyo wengine tukajikuta tumekuria kwa ndugu.
Nije kwenye mada sasa hawa ndugu zangu tumekuja Juana ukubwani kipindi cha msiba wa mama yetu.Ukweli najuta kuwafaham hawa ndugu zangu kutokana na Tabia zao yn ni waswahili sana kby zaidi shule hawakubahatika kwenda kbx na wala hawana kabisa mwamko wa elimu yn tabu tupu.
Mm nashukr mungu nilibahatika kukuria upande wa baba yangu nashukr nilibahatika kupata elimu na kukua kimaadiri sasa baada ya kijuana na hawa ndugu zangu dah najuta kuwafaham vzr.
Katika familia y2 hii kaka yetu kiukwel yy anauwezo mkubwa kifedha sana kwa hyo kwa upande wa dada na kaka zangu wengine yy ndyo kama baba na mama yao yn yy ndyo shokamzoba wa maisha yao kbx japo na wao wana familia na wajukuu lkn hawaishi mtegemea kaka yangu
Chaajabu yn wao wanazaa kama mashindano kila mwaka watoto kby zaidi watoto hawaendi shule kbx
Kinachoniumiza zaidi ndugu zangu hawa kaka yangu pamoja na mm tumejaribu wasaidia lkn HAWABEBEKI kabisa dada zangu nilishawapa laki tano tano Wafanye vibiashara lkn baada ya siku mbili atakutumia sms kaka nimeishiwa chakula
Kaka yangu pia kila mara wanaomba mitaji anawapa lkn siku mbili wanahitaji tena msaada sasa maisha ya sa hv utamsaidia mtu mpk ln
Kibaya zaidi ni waswahili mno yn ukiwatumia elfu hamsini leo ksho kutwa wanasema kaka tunaomba hela ya unga mashamba yapo kulima hawawezi....
Ushauri wenu.....