Ni kweli mkuu kuna ndoa zenye furaha sana
Lakini napata wasiwasi kusema ni nyingi
Bahati mbaya ninapoishi imejemgwa nyumba moja mpya ya kulala wenyeji,siku hizi sio za wageni
Na bahati nzuri mhudumu wa pale ninamfahamu
Kila siku kuna wake za watu na waume za watu wanahudhuria pale,kumbuka wengi sio walewale
Wengi wanadai kuwa wamechoshwa na vurugu za majumbani mwao
Hii ni hatari kubwa
Ndoa nyingi ziko chali na nyingi zinavunjika au zitavunjika muda sio mrefu
Trust me!!!!!!!!!!!!
1. Singekubali kwenda nyumbani kwa mwanamke mwenye mume, kwani chochote kinaweza tokea, ikiwemo kuuwawa...Hebu mkuu Ngalikihinja nipe uzoefu wako, kama ingekuwa ni wewe ungefanya nini....?
Inaweza isitokee vile vile japokuwa kuna uwezekano mkubwa sana kule alikoenda atatemwa muda si muda, si unajua tena mkuu masuala ya kuchoka mboga ile ile kila siku.Huyo mwanaume alikua na hekima sana, na hiyo hekima haitapita bure, lazima huyu dada atalipa gharama, atarudia hapo mogoti chini tena kwa machozi
Tatizo hamtaki kuolewa na maskini wanaojua kujali!!!!!!!!!!!!!!