Hawa ndo wanaume wa UEFA

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa hili
Bwana awe nanyi wakuu
Naseleleka nayo kama kawa kama dawa

Msinichoshe nisiwachoshe

Liverpool
Chelsea
Real Madrid
Barcelona
Juventus
Bayern munchen


Hawa ndo undedog watu wa europer

Man u
Man city
Arsenal
Psg

Kama hutaki kula ndimu


LONDON BOY
 
aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa hili
Bwana awe nanyi wakuu
Naseleleka nayo kama kawa kama dawa

Msinichoshe nisiwachoshe

Liverpool
Chelsea
Real Madrid
Barcelona
Juventus
Bayern munchen


Hawa ndo undedog watu wa europer

Man u
Man city
Arsenal
Psg

Kama hutaki kula ndimu


LONDON BOY
Dogo unachanganya madesa.
 
Inaonekana Ufatilii Mpira Kabisa Dogo Msimu Huu Huyo Chelsea Na Huyo Madrid Kupenya Hata Robo Tu Ni Mtihani Mkubwa.

Siwaoni A. Madrid Siwaoni Wanangu Spurs, Napoli Na BvB 09 Hapo.


Wataofika Mbali Msimu Huu
Barcelona
Spurs
A. Madrid
Liverpool
Napoli
Man City
Juve. Wengine waongeze
 
aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa hili
Bwana awe nanyi wakuu
Naseleleka nayo kama kawa kama dawa

Msinichoshe nisiwachoshe

Liverpool
Chelsea
Real Madrid
Barcelona
Juventus
Bayern munchen


Hawa ndo undedog watu wa europer

Man u
Man city
Arsenal
Psg

Kama hutaki kula ndimu


LONDON BOY
pumba Manchester city anashiriki Europer ya chattle au?
 
Tena na tena
tapatalk_1576134538855.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu city unayemwita kibonde

Katoka kukupiga 6-0

Juzi kakulamba 2-1

Hivi mkikutana 16 unadhani atakufanyaje, ?

Au mpaka awaingize huko nyuma

Hii hii chelsea inayopigwa na everton kipigo cha mbwa koko ndio inajiita mbabe tena uefa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom