mchambuzixx JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,292 Reaction score 946 Feb 20, 2012 #1 Huu mfumo natamani urudi kuanzia viongozi wote wa serikali
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Feb 20, 2012 #2 Baab Kubwaaaa.....namuona Ben kabla hajafisadika.....................mkulu Julius naye alipanda..........
Baab Kubwaaaa.....namuona Ben kabla hajafisadika.....................mkulu Julius naye alipanda..........
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 405 Feb 22, 2012 #3 Kwa mwenendo huu, tulikuwa tunaelekea kuzuri. Sisi nini kiliingilia kati tukapoteza njia na kuanza kununua mashangingi!!
Kwa mwenendo huu, tulikuwa tunaelekea kuzuri. Sisi nini kiliingilia kati tukapoteza njia na kuanza kununua mashangingi!!