Wakati mwingine tuweke mapenzi ya vyama tuongee ukweli
huyu yeye alitembea nchi nzima akipiga kelele Lowasa ni fisadi ila sasa kimya na kampokea Lowasa huku akifanya kazi chini yake
huyu nae alizunguka nchi nzima kutuambia ukuu wa wilaya ni vyeo mzigo na vya kupeana visivyo na umuhimu wowote huku akikomaa kwenyw tv kuwa hivi vyeo vinatumia pesa ya watz vibaya
Leo hii kapewa kaufyata
Cha ajabu wote wako kimya na hawataki kutoa matamko ya kwanini wanakula matapishi
Sasa vijana wanajifunza nini kwao?
Iv kati yao nani mnafiki zaid??