Hivi huyu ni nani wanajamvi,
Yupo kwenye matukio mengi kuna saa ana appear kama mwanachama wa ysc
Mara yuko na hayati, mara kwenye wamasai kule ubalozi ya kenya, pia watu wanasema masai hawezi andika hivyo huyu ni serikali hata Ngorongoro hapajui
Na kwanini anajiachia hadi tunamjua au yeye anahisi picha zake hazipo