Hawa ndiyo Wachina bhana. Akili nyingi sana, hakuna cha Vibali wala nini!!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Baada ya hapo hakuna cha fukuza fukuza wla nini, Balozi wa Uchina nchini Tanzania karusha Bonge la Pati na mmoja wa waalikwa wakuu ni Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, na uliza kaongelea nini? Kuhusu Vibali vya Wachina TanZania, hivyo endeleeni kuwaona Wachina Kariakoo na sehemu nyingine za Nchi!
Waafrika tumezidiwa tu Akili na hawa watu weupe, tukubali basi tuache kubisha!

Fikiria kufanya kinyume chake Uchina!


Waziri wa mambo ya ndani akiongea na Wachina waishio TZ, hapo Uhamiaji wakipiga msako nina uhakika nusu nzima hawana vibali!


PIX%2B1.JPG



Chini Balozi wa China nchini akiongea na Wachina waishio TZ

PIX%2B2.JPG



Waziri wa Mambo ya ndani na Mkuu wa Mkoa wa Dar walialikwa pia!

PIX%2B3.JPG



Waziri wa Mambo ya ndani akisalimiana na Wachina waishio TZ, nina uhakika wengi wao hapo hawana vibali vya kukaa nchini!

PIX%2B5.JPG



Wachina wengine hao hapo hawana sura za watu wanaolipia vibali vya zaidi ya dola 2000 hapa nchini!

PIX%2B7.JPG


Kama Picha inavyoonyesha, Chinese night Party!

PIX%2B6.JPG
 
Lakini mleta uzi toka lini wachina wakawa na sura za hela? Nchi nzima wamefanana na usipokaza macho au kuwazoea unaweza kushindwa kujua yupi ni yupi
 
wachina ni wadau WETU wa kimaendeleo!
kwanini wachina kuja nchini isiwe ni entry tu na sisi vilevile kwenda China ikawa ni entry tu!
kama KWELI sisi ni dugu moja!
 
Ili kukuza urafiki mzuri kati yetu Na China ni bora waachwe kwani tunahitaji kujifunza hadi lugha yao
 
Wewe muanzisha mada hebu kwanza tupe ushahidi wa uraia wako.



Mimi nina uwezo kufwata kizazi changu hapa hapa kwenye ardhi ya TanZania mpaka mwaka 1890!
Hiyo bila longo longo lolote lile chini ya hapo yaani kuanzia 1890 kushuka chini kumbukumbu inaanza kupotea!
 
Kweli wachina wametufundisha ujasiriamali. Wahindi mhh ujanja ujanja tu. Scratch my back I will scratch urs.
 
Bora ya chief Mangungo
Tulikwisha sahau na kuwasamehe kwani walitambua makosa yao na wengine walipigana kupinga kudanganya na kutawaliwa na wakoloni kama Mkwawa, mwanamarudi na mwenzake n.k. Kudanganywa, kuibiwa, kunyanyaswa na kutawaliwa hakuitaji elimu ya juu au ya chini kutambua.

Hiki kizazi cha sasa watasingizia Maendeleo, Njaa , Umaskini na mila potofu, Pia watasema Tanzania ni shamba la bibi kila mtu kazaliwa peke yake na atakufa peke yake,

Ni masikitiko kuwa kunawatu wanapuuzia maana ya utaifa wakati hata hao wachina na wazungu au wakoloni wa kale hawapuuzii utaifa wao na maslahi ya mataifa, familia na watu wao.
Watu wengi wanashindwa kuelewa kuwa hao watu kwenye mataifa yao hawaruhusu Mtu mwingine kufanya hayo wanayoyafanya kwenye mataifa mengine na hata wakiyafanya hayo wanayoyafanya katika mataifa mengine kwenye nchi zao watayafanya kwa kifincho na katika mazingira magumu, sio kweupe kama wanavyoyafanya kwenye mataifa ya watu wengine. Hata wakifanikiwa kufanya kwenye nchi zao itachukua miaka kazaa kwa Dunia kugundua na kujua ukweli.
 
Wachina watawa replace wahindi very soon
tushazoea now barabara kejengwa na wachina
tushazoea kampuni za majengo kuwa za wachina
taratibu tutazoea kama tulivyozoea wahindi kukamata biashara kubwa nyingi
 
Back
Top Bottom