Jembe Ulaya
JF-Expert Member
- Oct 27, 2008
- 456
- 104
Slaaa vs mrs Slaaa
endelea
Mwanzisha thread atakuwa anatekenywa na kitu. Naona kapost utumbo. Hivi mzee Cleopa Msuya na David Matayo wapi na wapi!Mtu kama huyo ukisikia amefeli darasa la 7 basi ukweli ni kuwa amefeli kihalali kabisa.
Jina la shule ye anaandika jina lake.
Jina la kwake anakurupuka kuandika jina la shule...
kama yeye ni Male basi kwa kupenda kuongeza anaongeza ''FE'' then anapata FEMALE
Wanabodi nawasalimu.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari msemo unaopendwa kurudiwarudiwa na baadhi ya viongozi wa nchi hii wale wanaotokana na chama tawala ambao ni huu "CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI (WAO) NA TUNA WANACHAMA KIBAO" Mwisho wa kunukuu.Ukiuangalia huu msemo kuna tofauti kubwa sana kati ya wenye CCM na wanachama.Wenye CCM yao watoto wao hawasomi shule za kata,wanatembelea magari ya kifahari,Wake zao wakiugua kidogo wanapelekwa nje ya nchi kutibiwa na wala hawavai kapelo,tshirt wala kanga zilizoandikwa maisha bora kwa kila mtanzania.Hawa ni baadhi ya wenye CCM wengine utaongezea mwenyewe kimtizamo na wanamiliki CCM kwa kurithishana kama ifuatavyo:-
Moses Nauye Vs Nape Nauye
Kigoma MALIMA Vs Adam Malima
Yusuph Makamba Vs January Makamba
Cleopa David Msuya Vs Matayo David Matayo
S.Sita vs Magret Sita
R.Kawawa Vs VICK KAWAWA
A.H.MWINYI VS Husein Mwinyi.
Job Lusinde VS lusinde.
Kwa mtazamo wangu hawa ni baadhi tu wengine Jazia mwenyewe.
Kwa mabandiko yake humu nilifikiri ndiye Nape wa CDM.Mrs Slaa hana cheo chochote CHADEMA. Sasa Ukisema hivyo basi itakuwa
Kikwete vs mrs Kikwete
Pinda vs mrs Pinda
Lowassa vs mrs Lowassa
Chenge vs mrs Chenge
Makinda vs oops!
umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm ina wenyewe babuuu
Mwanzisha thread atakuwa anatekenywa na kitu. Naona kapost utumbo. Hivi mzee Cleopa Msuya na David Matayo wapi na wapi!
Wanabodi nawasalimu.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari msemo unaopendwa kurudiwarudiwa na baadhi ya viongozi wa nchi hii wale wanaotokana na chama tawala ambao ni huu "CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI (WAO) NA TUNA WANACHAMA KIBAO" Mwisho wa kunukuu.Ukiuangalia huu msemo kuna tofauti kubwa sana kati ya wenye CCM na wanachama.Wenye CCM yao watoto wao hawasomi shule za kata,wanatembelea magari ya kifahari,Wake zao wakiugua kidogo wanapelekwa nje ya nchi kutibiwa na wala hawavai kapelo,tshirt wala kanga zilizoandikwa maisha bora kwa kila mtanzania.Hawa ni baadhi ya wenye CCM wengine utaongezea mwenyewe kimtizamo na wanamiliki CCM kwa kurithishana kama ifuatavyo:-
Moses Nauye Vs Nape Nauye
Kigoma MALIMA Vs Adam Malima
Yusuph Makamba Vs January Makamba
Cleopa David Msuya Vs Matayo David Matayo
S.Sita vs Magret Sita
R.Kawawa Vs VICK KAWAWA
A.H.MWINYI VS Husein Mwinyi.
Job Lusinde VS lusinde.
Kwa mtazamo wangu hawa ni baadhi tu wengine Jazia mwenyewe.
Kweli? Apologies to Mr Ngowi.Mtu na mwanae mkuu, Usichanganywe na majina
Ni kweli Lusinde AKA Matusi siyo mtoto wa Mzee Job Lusinde. huyo bwana matusi watu wa Temeke wanamfahamu sana wakati akiuza bucha moja ya nyama hapo mtoni kwa Aziz ALLY miaka ya themanini mwishoni kuja tisini, kwenye siasa hadi kuwa katibu wa chama wa CCM alifanyiwa chapuo na Mzee Malacela kutokana na hilo domo lake, ila mtoto mmoja wa Job Lusinde ni yule aliyeko China aliyehusishwa na ile blog iliyopigwa ban ya ZE UTAMU
Wabunge wa Dodoma ukicheck background zao utakuwa mbavu huna- Lusinde (Livingstone) alikuwa muuza bucha kabisaaa wa kuvaa na zile kofiya nyeupe tena alikuwa ndiye kiongozi wa wagogo wauza bucha wa Temeke aliyenipa habari hizi ni buchara mwenzie yuko kijiji cha Nhg`ahelezi akiitwa Stanley.
Kweli? Apologies to Mr Ngowi.
Ina wenyewe
Mwanzisha thread atakuwa anatekenywa na kitu. Naona kapost utumbo. Hivi mzee Cleopa Msuya na David Matayo wapi na wapi!
Mrs Slaa hana cheo chochote CHADEMA. Sasa Ukisema hivyo basi itakuwa
Kikwete vs mrs Kikwete
Pinda vs mrs Pinda
Lowassa vs mrs Lowassa
Chenge vs mrs Chenge
Makinda vs oops!
Mkuu hii issue imemtemesha Mhe ubunge bana, chunga saana jamaa ana jaziba saana!!!!lowassa vs batilda burian