Hawa ndio wasaidizi wa Rais

Hawa vijana waliopewa madaraka kuendelea kuwepo ndio utagundua nini maana halisi ya neno kutoka kwa mzee Makamba na Kinana.
Hawakukurupuka wale!

Mjinga sana huyo Makonda, kwa hiyo kaona wanawake wa Dar wanahitaji sana kuolewa kuliko kupata ajira. Yeye kama kiongozi wa kiserikali alipaswa kupigania wanawake wapate kazi/ajira na sio wanaume waliooa. Kashindwa kutoa ajira saa hii anatumia kiki nyepesi za wanawake kujua wanaume waliooa!
 
Sipendi kuamini sana kwamba huo wizi ndio kigezo pekee cha walio madarakani kuendelea kuwepo madarakani.

Naamini katika substance ya waliopo madarakani, wanatimiza kile kilichoandikwa kwenye ilani?. Kama wanatimiza na kuwa karibu na wananchi basi huo ndio wizi wenyewe wa kisayansi.

Kuna yanayoandikwa humu jukwaani na kuna uhalisia wa huko mikoani na vijijini.
 
Maandiko yanasema "... na wala msiwape mbwa chakula cha watoto ili wasije wakawageuka wakawararua..."
Naogopa sana kusema kwamba "... kulazimisha akili ndogo kuwaza mambo makubwa ni kujitafutia dhahma!!!"
CCM haiwezi kuja na mawazo ya kujenga nchi zaidi ya ushilawadu na majungu...
Hii kiki aliwahi kuitumia mzee wa kiraracha haikumvusha amebaki kuwa Mzee wa.....
 
Maskini Tanzania. Hawa ndio wanapewa madaraka eti wamsaidie rais.
Lakini nadhani uteuzi pia haukuwa kupata wasaidizi Bali jamaa wa karibu wapate ulaji!!! Hii ndio hasa driver ya teuzi za Hawa vijana, kwa sababu hakuna la maana wanalowaza kuleta natumain kwa wanaowaongoza.
 

Sikulazimishi ukubali nilichosema ndio kiwe kweli. Halafu simaanishi waliopo madarakani hakuna mahali wanaposhinda kihalali, lakini kwa uchaguzi huru wasingekuwa na wingi wa kupitisha kila watakacho, na kadiri ambavyo wangekuwa wanapunguzwa wingi wao, eventually wasingekuwepo madarakani kwani wasingeweza kutunga sheria za kuwabeba. Hakuna chama kisicho karibu na wananchi maana hamna chama chochote kinachojiendesha kutokea nje ya nchi, ila hujuma dhidi ya vyama vya upinzani kukutana na wananchi zinafahamika.
 
Nadhani wako karibu na wananchi, maana tunaona hata wanabeba magunia ya kahawa na mwingine anaendesha baiskeli ya madumu ya maji huku mwingine akidili na ndoa zateu.
 


Praise Team and worship upo kwa hiyo huo mkakati wa huyo Bashite una msaada gani kwa nchi?
 
Praise Team and worship upo kwa hiyo huo mkakati wa huyo Bashite una msaada gani kwa nchi?
Mkakati wa Bashite una uhusiano gani na huu uzi?.

Mlikuwa mnaita buku saba siku hizi praise team kesho mtakuja na jina jingine. Mnazidi kunyooka.
 
Mkakati wa Bashite una uhusiano gani na huu uzi?.

Mlikuwa mnaita buku saba siku hizi praise team kesho mtakuja na jina jingine. Mnazidi kunyooka.


Vyovyote lakini jua wewe ndio huyo huyo praise team worship na buku 3 siku hizi sio 7 tena naona mpk kwenu uchumii umebana
 
Punmba kweli hili jamaa
 
Unfortunately Remote, in sembulance to your name, you are remotely used. Review your title and thrash.
 
Vyovyote lakini jua wewe ndio huyo huyo praise team worship na buku 3 siku hizi sio 7 tena naona mpk kwenu uchumii umebana
Hayo mambo ya buku tatu na buku saba huoni kama ni utoto fulani?. Nategemea wewe mpaka umejiunga humu tayari umeshafikia umri wa kupiga kura. Stop being silly.
 
Kwa mtazamo wangu unatetea vitu vya kijinga, ambavyo vinakufanya nawe kuonekana mjinga... Ushawahi ona mtu anaongea ujinga mpaka wa pembeni yake ndio anaona aibu!!?
 
Kwa mtazamo wangu unatetea vitu vya kijinga, ambavyo vinakufanya nawe kuonekana mjinga... Ushawahi ona mtu anaongea ujinga mpaka wa pembeni yake ndio anaona aibu!!?
Unaweza kudhani mimi mjinga kumbe wewe ukawa ndio mjinga mwenye kustahili kuonewa huruma.

Huwezi kumhukumu mtu kwa picha ambazo hujui malengo yake ni yapi. Cheap politics.
 
Mkuu, you have nailed it. Tatizo kubwa wamepewa majukumu makubwa pengine zaidi ya uwezo wao wa kawaida kuweza kuyamudu vyema, kwa hawajui wapi pa kuanzia, wapi pa kupaendeleza, wapi pa kurekebisha na wala pia wapi pa kufanyia "drop decision" Enzi zile waliitwa mizigo.
 
Hii point namba mbili ni ya kuiangalia kwa makini sana, Kuanzia Tegeta hadi kwenda Bunju kuna s
Msongamano sana wa watu wanaofanya biashara hasa nyakati za usiku pembezoni mwa barabara hasa katika vituo
Siyo huko tuu mkuu, almost Dar yote ...
Nenda pale ferry kigamboni yaan kumejaa watu wanapanga vitu chini, nenda Gongo la mboto, nenda mbagala
Kimsingi RC wetu kuna changamoto nyingi anapaswa kudeal nazo
 
Unaweza kudhani mimi mjinga kumbe wewe ukawa ndio mjinga mwenye kustahili kuonewa huruma.

Huwezi kumhukumu mtu kwa picha ambazo hujui malengo yake ni yapi. Cheap politics.
Malengo ni Cheap politics, na kiwafanya watu Mazwazwa... Kama kiongozi mkubwa kuna wengi ya kufanya ili kuwa karibu na watu. Kiongozi ni dira, lakini unapobeba magumia ili nikuone eti ni mwenzangu kwangu mimi ni Hapana... I am sorry, I don't know what they are selling but I am not buying it...
 
Huyo anayebeba Magunia hapo ni jimboni kwake na hao ni wananchi wake waliompigia kura. Hakuna kilichoharibika.

Marehemu Deo Filikunjombe yeye hakuishia kubeba magunia alichanganya zege kwenye ujenzi wa zahanati na Shule.

Tatizo letu wabongo kila kitu ni siasa ndio maana kuendelea inakuwa ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…