Kila mahali kunahitaji skills tofauti. Wanawake wa mjini hawana nguvu, hawajasoma na hawaeleweki wanajipatia wapi kipato. Ila wana skills zinazowawezesha kuendesha magari mazuri kila siku, ku_check in kwenye mahoteli ya hadhi mjini pamoja na kuvaa dhahabu. Nimesahau kukaa nyumba nzuri prime areas. Sasa ukija na miguvu hiyo mjini, si utachemsha na maji yanatoka kwenye showers na majaccuzi?