hawa ndio wanaume wanaoongoza kuvunja ndoa za watu

bado wasusi wa rasta za kimasai kwenye hosteli za vyuo.

Wamasai walinenepaje miaka hiyo.

Mie sishoneshi nguo, ndo maana nikataja wauza mitumba. Afu mapapaa wana boutique siku hizi, ukijaribishA anataka kukuadjust brazzierre!
 
mkazanie ale vichwa vya samaki na akili zichaji kama The Boss

anaweza kukufaa wakati wa kiangazi lol

Na shamba boy wangu sijui viporo vya ubwabwa wa samaki vinamkuza! Kaanza kufanana na the boss (mashavu tu lakini)
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, do they?
I have a lesbian friend (I mean a really good friend who can drop anything to come to my rescue). Unanifanya nijiogope sasa, I take me as easy going on people's businesses
shosti wako na dereva wa bodaboda?
mnhhh.....do friends say something about us?
 
Hahaha, do they?
I have a lesbian friend (I mean a really good friend who can drop anything to come to my rescue). Unanifanya nijiogope sasa, I take me as easy going on people's businesses

umewahi skia birds of the same......?????
 
Umeyajuaje haya mwanangu, au walishakutotea nini?
 
Kule uswahilini kuna sisi wauza urembo msitusahau pia,tunawavuruga sana wake zenu.
 
Ningesema mie ningeambiwa niko BIAS.................
Sasa kasema mwanamke mwenzenu...................................LOL
 
hivi mwanamke kweli unauza mwili wako in exchange upate nyanya na vitunguu...haki ya nani...kuna wanawake very cheap hapa duniani u'd b amazed
 
mkazanie ale vichwa vya samaki na akili zichaji kama The Boss

anaweza kukufaa wakati wa kiangazi lol
we kongosho amkazanie ale vichwa vya samaki aje kumfaa wakati wa kiangazi? mtu mwenyewe shamba boy upigwe taraka kwa ajili ya shambo boy? no! king'asti kaa nae mbali shamba boy wako usimsikilize kongosho
 
Ongeza na hawa:
Wanamuziki
Wacheza mpira -footballers
Wabunge , hasa wa CCM
 
Gor forbid!

Marry you? Naombeni mbuzi wa kafara, naona kuna dalili ya kuvunja miiko ya ukoo hapa.

Kha! Hebu usimtaje shetwani aside akatokea. Ngoja nika-msurprise PAW wangu na lunch na a quickie garini. Can u suggest a deserted beach?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…