farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Mimi nahisi kuna mambo yanatakiwa kwa maandishi lakini yeye pengine anayahitaji kwa njia ya simu tu, sasa hapo unaweza kuona watu wanavokimbizana kutoa majibu ya haraka ili wasitumbuliwe.Naam! Ndio maana anafanya ajisikiavyo na sivyo katiba isemavyo. Ona hili la kusitisha ajira, promotion, mishahara na kulipa madeni ya wafanyakazi wa umma lilivyokaa kisha juzi kaajiri wakuu wa wilaya na madas. Wakati mwingine waweza kudhani kuna wakulu wawili tofauti ila wanaongoza nchi moja. Au washauri wake wana double personalities and faces? Kuna shida mahali. Huyo katibu wake awe ananote kwenye journal matamshi ya mkulu na kumkumbusha basi ili kusiwe na mpishano huu ninaouona.
Kwa mwandiko huu ulishawakataa hata ukitajiwa hautokubali, kwa mujibu wa katba washauri wakuu w rais ni baraza la mawazi sasa utawajuaje wa chadema wakat hawana baraza hilo hata kwa kuhisi tu ningumu ukizingatia rais ana nafasi 10 za za wabunge/mawaziri.Mtajie tu maana hata CHADEMA ilikuwa inataka kuongoza inch, sasa hao Mawaziri wa kumshauri Rais kwa CHADEMA wangekuwa kinanani?
Alikuwepo kitwanga sema ndio hivyo hatunaye tena[emoji30]Kwa style hii,cjaona wazir anayeweza kumshaur jpm
Hivi watanzania mmelogwa na nani kushindwa kujadili hoja na kulimbilia ushabiki kila mala?. Ndio maana tutabaki maskini licha ya kuzubgukwa na laslimali lukukiSo point yako ni ipi?ulitaka ukawa ndio muwe washauri wa rais?
SawaKwa mwandiko huu ulishawakataa hata ukitajiwa hautokubali, kwa mujibu wa katba washauri wakuu w rais ni baraza la mawazi sasa utawajuaje wa chadema wakat hawana baraza hilo hata kwa kuhisi tu ningumu ukizingatia rais ana nafasi 10 za za wabunge/mawaziri.
Yaani mtu anakuja nahoja yake kichwani badala ya kujadili hoja iliyopo jukwaani.Hivi watanzania mmelogwa na nani kushindwa kujadili hoja na kulimbilia ushabiki kila mala?. Ndio maana tutabaki maskini licha ya kuzubgukwa na laslimali lukuki
Baadhi ya watu hawalewiHapo ndipo lowasa alipoponea na Richmond
Kweli kila jambo nawakati wakeAlikuwepo kitwanga sema ndio hivyo hatunaye tena[emoji30]
Linalomshauri ni Balaza la Mawaziri nasio Waziri mmoja. Hivyo kupiga simu hawezekani.Mimi nahisi kuna mambo yanatakiwa kwa maandishi lakini yeye pengine anayahitaji kwa njia ya simu tu, sasa hapo unaweza kuona watu wanavokimbizana kutoa majibu ya haraka ili wasitumbuliwe.
mjamzito nini mbna unamajibu ya kimimbamimbaFunga bakuli zumbukuku wewe
So point yako ni ipi?ulitaka ukawa ndio muwe washauri wa rais?
Watu wankurupuka Mkuu.mjamzito nini mbna unamajibu ya kimimbamimba
Soma vifungu vya Katiba utajua ni nani kamshauri.yale mabulungutu alomwaga jana nan kamshauri
unamiaka mingapi for this post?yale mabulungutu alomwaga jana nan kamshauri
rudi shule kajifunze kuandika.Hivi watanzania mmelogwa na nani kushindwa kujadili hoja na kulimbilia ushabiki kila mala?. Ndio maana tutabaki maskini licha ya kuzubgukwa na laslimali lukuki
mimi au nyie manyumbu?tumia akili wewe!