CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu.Kuna umuhimu gani wa kujichosha kwa jambo lisilowezekana?
Sawa mkuu.Kuna umuhimu gani wa kujichosha kwa jambo lisilowezekana?
Upo sawaMimi cheo changu najipandisha mwenyewe kwa kuongeza ubora wa mazao shambani mwangu
Usingekuwa na mawazouliyoyasema! Naona umevurugwa huko shambani ndio maana kutwa JF kuwania vyeo vya 2025. Halafu hivi hujui kuwa Chama kina wenyewe if at all ni Chama kwani ni Kampuni hiyo. Na Asante JF kwa majina Fake maana kesho ningejikuta Kisutu kushatakiwa kwa kuita Chama Kampuni maana kwa Vyesi ndio wenyewe sasa kabla ya Tundu Lisu Haijaisha wanataka kufungua kesi ya kutolipwa Posho ambayo hawajaifanyia kazi. Shame on You!Mimi cheo changu najipandisha mwenyewe kwa kuongeza ubora wa mazao shambani mwangu
Nashukuru sana kwa kunielewa mkuuSawa mkuu.
Umeonaeeeee?Upo sawa
Pamoja sana!Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu
Mbona unaandika unatetemeka? Yaani unajidanganya kwa hiyo fake ID yako ndio huwezi kujulikana? Unaijua maana na kazi ya tcra? Pole sanaUsingekuwa na mawazouliyoyasema! Naona umevurugwa huko shambani ndio maana kutwa JF kuwania vyeo vya 2025. Halafu hivi hujui kuwa Chama kina wenyewe if at all ni Chama kwani ni Kampuni hiyo. Na Asante JF kwa majina Fake maana kesho ningejikuta Kisutu kushatakiwa kwa kuita Chama Kampuni maana kwa Vyesi ndio wenyewe sasa kabla ya Tundu Lisu Haijaisha wanataka kufungua kesi ya kutolipwa Posho ambayo hawajaifanyia kazi. Shame on You!
Soma vizuri vifungu ivyo hapo vya Katiba.Je Yuko tayari kupokea ushauri?
Wabheejaa hsaaanaahPamoja sana!
Kwa hiyo umekwisha anza andaa kesi?Mbona unaandika unatetemeka? Yaani unajidanganya kwa hiyo fake ID yako ndio huwezi kujulikana? Unaijua maana na kazi ya tcra? Pole sana
Ahya nenda kalale sasa usiku huuKwa hiyo umekwisha anza andaa kesi?
Asante nawe usichelewe shamba maana hichio chama kina wenyewe , matani wangu Mmawia we endelea tu huko na shamba kwani halimtupi mja wake!Ahya nenda kalale sasa usiku huu
Naona unaniwacha na msamiati mkali...MATANI...ndiyo neno gani tena hili?Asante nawe usichelewe shamba maana hichio chama kina wenyewe , matani wangu Mmawia we endelea tu huko na shamba kwani halimtupi mja wake!
Mkuu yule binti umeshamwacha?So point yako ni ipi?ulitaka ukawa ndio muwe washauri wa rais?
Mtani na wewe hebu Jiongeze kidogojamani mbona unaniangusha?!?!?!Naona unaniwacha na msamiati mkali...MATANI...ndiyo neno gani tena hili?
Mimi ni mkulima tu siyo mwana mielekaMta
Mtani na wewe hebu Jiongeze kidogojamani mbona unaniangusha?!?!?!
Ndiyo haya anayoka taa Magufuli halafu manaanza kulialia. Unakuwa Mkulima tu unatakiwa ufanye kitu kinaitwa Diversification - sasa wwewekuwa mkulima tu unaridhika. Halafu uje udai umeachwa ndio maana nimekwambia mtani hebu jiongeze, sasa wewe ni mkulima tu! Ukishalima unasubiri walanguzi waje wanunue mazao, mtani jiongeze Zama hizi nyingine Ujue!Mimi ni mkulima tu siyo mwana mieleka
Ukiona sehemu yoyote mlanguzi anauziwa mazao ujue hakuna soko la uhakika la hayo mazao,either mkulima anakopwa na wenye soko au bei ni ndogoNdiyo haya anayoka taa Magufuli halafu manaanza kulialia. Unakuwa Mkulima tu unatakiwa ufanye kitu kinaitwa Diversification - sasa wwewekuwa mkulima tu unaridhika. Halafu uje udai umeachwa ndio maana nimekwambia mtani hebu jiongeze, sasa wewe ni mkulima tu! Ukishalima unasubiri walanguzi waje wanunue mazao, mtani jiongeze Zama hizi nyingine Ujue!
Kuna pahala wqmetajwa ukawa?So point yako ni ipi?ulitaka ukawa ndio muwe washauri wa rais?