Hawa ndio wanaomshauri Rais Magufuli

Hawa ndio wanaomshauri Rais Magufuli

Naam! Ndio maana anafanya ajisikiavyo na sivyo katiba isemavyo. Ona hili la kusitisha ajira, promotion, mishahara na kulipa madeni ya wafanyakazi wa umma lilivyokaa kisha juzi kaajiri wakuu wa wilaya na madas. Wakati mwingine waweza kudhani kuna wakulu wawili tofauti ila wanaongoza nchi moja. Au washauri wake wana double personalities and faces? Kuna shida mahali. Huyo katibu wake awe ananote kwenye journal matamshi ya mkulu na kumkumbusha basi ili kusiwe na mpishano huu ninaouona.
Mimi nahisi kuna mambo yanatakiwa kwa maandishi lakini yeye pengine anayahitaji kwa njia ya simu tu, sasa hapo unaweza kuona watu wanavokimbizana kutoa majibu ya haraka ili wasitumbuliwe.
 
Mtajie tu maana hata CHADEMA ilikuwa inataka kuongoza inch, sasa hao Mawaziri wa kumshauri Rais kwa CHADEMA wangekuwa kinanani?
Kwa mwandiko huu ulishawakataa hata ukitajiwa hautokubali, kwa mujibu wa katba washauri wakuu w rais ni baraza la mawazi sasa utawajuaje wa chadema wakat hawana baraza hilo hata kwa kuhisi tu ningumu ukizingatia rais ana nafasi 10 za za wabunge/mawaziri.
 
Sawa
 
Hivi watanzania mmelogwa na nani kushindwa kujadili hoja na kulimbilia ushabiki kila mala?. Ndio maana tutabaki maskini licha ya kuzubgukwa na laslimali lukuki
Yaani mtu anakuja nahoja yake kichwani badala ya kujadili hoja iliyopo jukwaani.
 
Mimi nahisi kuna mambo yanatakiwa kwa maandishi lakini yeye pengine anayahitaji kwa njia ya simu tu, sasa hapo unaweza kuona watu wanavokimbizana kutoa majibu ya haraka ili wasitumbuliwe.
Linalomshauri ni Balaza la Mawaziri nasio Waziri mmoja. Hivyo kupiga simu hawezekani.
 
1467868499308.jpg
 
kwa hili la majuzi rais kuteua MADAS imedhihirika dhahiri shahiri rais hana washauri na kama wapo wanalipwa mishahara ya bure.
 
Hivi watanzania mmelogwa na nani kushindwa kujadili hoja na kulimbilia ushabiki kila mala?. Ndio maana tutabaki maskini licha ya kuzubgukwa na laslimali lukuki
rudi shule kajifunze kuandika.
 
Back
Top Bottom