Hawa ndio wanaomshauri Rais Magufuli

Hakuna mwenye ujasili huo mkuu sasa hivi ni ndiyo mzee
 
Heb

Hebu ntajie watu 4 tu wa CHADEMA wa kumashauri Rais tafadhali! Maana kwa mtindo huu MABAKULI hatuyafungi!
CHADEMA hakuna hata mmoja. Kama walishindwa kutoa ushauri ujio wa Lowassa, sembuse mambo mengine.
 
Hiyo katiba mmeibadilisha lini kuruhusu wapinzani kuwa sehemu ya serikali yenu? Au unaropoka tu?
Mtajie tu maana hata CHADEMA ilikuwa inataka kuongoza inch, sasa hao Mawaziri wa kumshauri Rais kwa CHADEMA wangekuwa kinanani?
 
Kuhusu siasa za Upinzani nchini naamini Nappe ndio mshauri mkuu.!
 
Mwaka 2025 unaweza bahatisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…