yan walitaka wavune pesa zetu then waje waseme leo nan atawaelewa kama walijua hawatatugea kwann waliturusu tuombe hawa watu mbna hawana huruma hvHuu ni utapeli na uhuni. . Kwenye guide book yao waliruhusu watu wa diploma ku apply sasa why this now
Walikuwa wanakusanya elfu 30 zenuHuu ni utapeli na uhuni. . Kwenye guide book yao waliruhusu watu wa diploma ku apply sasa why this now
Watoe Mara ngapi?Wangetoa na sababu za kwa nini mtu kakosa mkopo ili tutengeneze profile za wale ambao in future wasisumbuke kuomba mkopo ikiwa ni wazi hatawata pata. Watu wametumia zaidi ya TShs 50,000 kumbe vigezo vingekuwa wazi na wangejua profile za wakosaji wasinge apply. Au ndio wajinga tuliwao.........? Gia kubadilishwa anagani.
Hao wa diploma sababu ya kukosa wamesema ni nn?Watoe Mara ngapi?
Kwasababu ni diplomaHao wa diploma sababu ya kukosa wamesema ni nn?