Hawa ndio walikula krismass bwana

Hawa ndio walikula krismass bwana

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
hapa wako na birthday boy mwenyewe kabisa

270002430_2277675159197878_607940211594494155_n.jpg
 
Acha ujuaji unaambiwa huyo ni Jesus Christ
Acha vurugu mkuu huyo ni actor tu alivaa uhusika wa yesu ila yeye si yesu ni Brian deacon Kuna watu humu wanaakili punje wataamini yesu kweli..😂
 
Acha vurugu mkuu huyo ni actor tu alivaa uhusika wa yesu ila yeye si yesu ni Brian deacon Kuna watu humu wanaakili punje wataamini yesu kweli..
mchizi kajaa kwenye masebule ya watu
 
Kuna binadamu wabishi wanaamini huyo ndiyo Yesu mwenyewe....

Spika alitoa muongozo lakini...
 
Back
Top Bottom