Hawa ndio wahisani wetu

Hawa ndio wahisani wetu

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
4,894
Reaction score
4,477
attachment.php


Pichani ni waziri mkuu wa Uhoranzi bw. Mark Mutte akitoka kazini kuelekea nyumbani akitumia usafiri wa baiskeli
Jiulize kama hawa ndio wahisani wetu kwenye maendeleo ya nchi zinazoendelea Je viongozi wetu wanatambua umuhimu wa kupunguza matumizi ya serikali yatikanayo na magari ya gharama(v8,v6,Kilimo kwanza N,K) ???????

tafakali..... chukua hatua
 
Hahahaaaaaa. Lakini jamani naombeni msaada, kuna msamiati ambao kwangu ni mpya. Kilimo kwanza ndo gari gani? Msinicheke tafadhali.
 
Kampeni zipigwe kwa helcopter halafu upate madaraka utumie baiskeli, hilo haliwezekani.
 
Hahahaaaaaa. Lakini jamani naombeni msaada, kuna msamiati ambao kwangu ni mpya. Kilimo kwanza ndo gari gani? Msinicheke tafadhali.

Yale ma VX 8 matamu kama Mcharo hahahahahaha
 
atembelee baiskeli ving'ora vitakuwa wapi ?
 
Ujue kuna wakati ukiwa unatumia usafiri wa hivi ni moja ya sehemu ya mazoezi.

Hawa wa kwetu hawaelewi na hawajali afya zao vitambi wanaona sifa
 
Kampeni zipigwe kwa helcopter halafu upate madaraka utumie baiskeli, hilo haliwezekani.

Unajua wanaokoa gharama kiasi gani kwa kutumia choper 2mia fact acha kuazima maneno aliye toa hoja niwaz kaonyesha umuhimu wa kupunguza matumiz yasiyo lazima ili kufanya maendeleo Jiongeze.
 
Hahahaaaaaa. Lakini jamani naombeni msaada, kuna msamiati ambao kwangu ni mpya. Kilimo kwanza ndo gari gani? Msinicheke tafadhali.

Ni yale ma tractor ya blue wanayopewa wakulima kwa mkopo
 
Back
Top Bottom