Tatizo la CCM Sio Sera Mbovu Maana Uganda na Rwanda Ndio Wanazitumia Hizo Hizo Sera Kwa Mafanikio Makubwa. Tatizo Letu Ni Uongozi wa Maneno Mengi na Vitendo Vichache wa Kikwete.
Hebu Fikiria Kama Kila Mtu Serikalini Angetakiwa Kuwajibika Kama Raisi Wao MAGUFULI Nchi Ingekuwa Wapi Hivi Sasa???
Mkuu unajitahidi... Bado kupiga push up tu!