Hawa ndio Vodacom 4G

Hawa ndio Vodacom 4G

Vipi ukaaji wa bando kwa voda 4G maana tigo 4G bando inakata sana 1Gb inaisha ndani ya dk10 kama una watching video online mpaka nimeamua ku change kwenye settings nitaweka 3G only

Internet yoyote ya 4g itakula bando, sababu ndani ya muda mfupi unafanya mambo mengi na kuangalia quality kubwa. Solution ni kujua unachofanya.

Mfano kama ni youtube download youtube go halafu set quality ndogo kama 240p ama 360p litakaa bando lako
 
Asante chief nitazingatia hivyo naipenda coz speed ni kali.
 
Back
Top Bottom