Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Albam yangu ya Injili kwa asilimia kubwa imefanywa na Prodyuza Doncher wa jijini Mwanza na kiasi kidogo imefanywa na Prodyuza D.Class wa jijini Mwanza na baadhi ya nyimbo nimeingiza voko na mixing kwa Prodyuza Nelly naye wa jijini Mwanza.
Kimsingi Mwanza wana Maprodyuza wazuri sana Sema tu kazi zao hazifahamiki kwani kuna wasanii wanavuma kwa kazi zao lakini hawasemi.
Heko Doncher
Heko D.Class
Heko Nelly.
Deogratius Nalimi Kisandu
28 Desemba 2017.