Hawa ndio mapacha waliotenganishwa vichwa na Dkt. Ben Carson 1987

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,584
Aliwatenganisha September 1987

FB_IMG_1457091626161.jpg

Sasa wana miaka 31
 
Ila huyu jamaa historia yake inafariji na kutia moyo sana. Kutoka mtu mbumbumbu hadi kuongoza darasani kisha kuongoza kitengo taasisi kubwa ya John hopkins sio kitu rahisi.

Mama yao licha ya kutokujua kusoma na kufanya kazi za ndani kwa wasomi alitoa mchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya huyu jamaa.
 
Benjamin Solomon Carson mwafrika huyu historia yake inavutia sana
Mkuu hebu tupe historia ya hao mapacha japo kidogo kama unaijua,ni wa nchi gani? Na sasa hivi wako wapi hao mapacha na wanafanya nini? Dr aliyewatenganisha bado yupo hai? Na ni wa nchi gani?

Yeyote mwenye kujua atujuze pls japo kwa ufupi.
 
Ila huyu jamaa historia yake inafariji na kutia moyo sana. Kutoka mtu mbumbu hadi kuongoza darasani kisha kuongoza kitengo taasisi kubwa ya John hopkins sio kitu rahisi.

Mama yao licha ya kutokujua kusoma na kufanya kazi za ndani kwa wasomi alitoa mchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya huyu jamaa.
Mkuu hapa unamzungumzia Dr aliyewatenganisha hao mapacha au unawazungumzia hao jamaa mapacha?
 
Alafu ajabu huyu jamaa alishindana na trump kuwania nafasi ya kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM ya marekani(republican) wakamnyima yeye wakampa Dokta Trump gwiji la mipasho na ukurupukaji,kweli dunia imevaa pensi nyanya.
 
Kwani kuwa Dr. ndio kuweza kuwa RAIS? Angeweza mikikimikiki ya middle East na Korean peninsula?

Kwa dunia ya sasa, Marekani ilihitaji kiongozi mwenye Haiba ya Trump na sio akina Carson. Walichagua vyema, ndio maana sasa hivi husikii tena maandamano uchwara ya Bi. Clinton na genge lake; Watu wanamkubali Trump kimya kimya, wanaona aibu kusifia mbele za umma.
 
Back
Top Bottom