Hawa ndio majaji waliomtoa Godbless Lema gerezani

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,182
2,014
1. Benard Luanda
2. Kipenka Mussa
3. Stella Kamugisha

Hakika hawa ni moja ya majaji wanaopaswa kupewa heshima sawa na kundi la Jaji Warioba, Jaji Nyalali, Jaji Boman, Jaji "Lubuva" na wengineo.

Majaji hawa wamelinda heshima yao, heshima ya mahakama na heshima ya haki ya mwanadamu yeyote.

Wanapaswa kupewa moyo!
 
Yeyote anayesimamia haki yake na ya mwingine anapaswa kupewa heshima sana.
 
1. Benard Luanda
2. Kipenka Mussa
3. Stella Kamugisha

Hakika hawa ni moja ya majaji wanaopaswa kupewa heshima sawa na kundi la Jaji Warioba, Jaji Nyalali, Jaji Boman, Jaji "Lubuva" na wengineo.

Majaji hawa wamelinda heshima yao, heshima ya mahakama na heshima ya haki ya mwanadamu yeyote.

Wanapaswa kupewa moyo!
Unaweza ukawa umefanya jambo jema lakin laweza kuleta uchungu, soma nyakati?
 
Baada ya kusota miezi minne ndiyo kapata dhamana halafu unawasifia majaji!! Kwamba ajira zao ni mpya hawakuwepo au?
Duuuh!! CHADEMA buana...
 
Back
Top Bottom