mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 Jun 15, 2014 #61 skidemount said: Kibaya zaid hiyo pesa wameweka kwenye acc ya bank ambayo wanakulazimisha ufungue post bank.sasa hapo nitatoa nn kwenye ATM.moyo unaniuma sana Click to expand... Duh bora turudi kijijini tukalime
skidemount said: Kibaya zaid hiyo pesa wameweka kwenye acc ya bank ambayo wanakulazimisha ufungue post bank.sasa hapo nitatoa nn kwenye ATM.moyo unaniuma sana Click to expand... Duh bora turudi kijijini tukalime
K kwaida Member Joined Apr 24, 2014 Posts 14 Reaction score 14 Jun 16, 2014 #62 skidemount said: Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas Click to expand... dah pole sana
skidemount said: Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas Click to expand... dah pole sana
G GEBO. Member Joined Mar 30, 2014 Posts 28 Reaction score 7 Jun 16, 2014 #63 Ukweli uliopo ni kwamba BOMU LA AJIRA LAZIMA LITALIPUKA kama hali hii itaendelea. Muda ukifika hakuna atakayezuia hata baadhi ya wanasiasa wametabiri.
Ukweli uliopo ni kwamba BOMU LA AJIRA LAZIMA LITALIPUKA kama hali hii itaendelea. Muda ukifika hakuna atakayezuia hata baadhi ya wanasiasa wametabiri.
Planner JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 348 Reaction score 149 Jun 16, 2014 #64 What a shame TPB....ndio maana niliyakopa alafu nikaingia mitini!na akaunti lao nimeliacha lifie mbali!
What a shame TPB....ndio maana niliyakopa alafu nikaingia mitini!na akaunti lao nimeliacha lifie mbali!
B btheone Member Joined May 25, 2014 Posts 15 Reaction score 2 Jun 16, 2014 #65 Pole kwa kulia aise imeniumiza sana....kazi ni ngumu ila why watutesi hivi unampa buku 1 mtu duh...hata naulimkwa siku hamtoshi
Pole kwa kulia aise imeniumiza sana....kazi ni ngumu ila why watutesi hivi unampa buku 1 mtu duh...hata naulimkwa siku hamtoshi