Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu


sawa smart guy.
 
Hivi unaujua urasimu uliopo linapokuja jambo linalokutanisha mamlaka na au taasisi zetu kwenye utekelezaji wa miradi?

urasimu uliopo unajulikana na kwa maelezo yako mwenyewe gharama zinamwangukia client au?
 
Tuache kuruhusu ujenzi wa miji bila kwanza kupangilia. Hayo sio matatizo ya wakandarasi...ni matatizo ya kufanya mipango miji bila kufuata taratibu
 
urasimu uliopo unajulikana na kwa maelezo yako mwenyewe gharama zinamwangukia client au?

Fanya jambo dogo, from the idea-procurement stages-contract implementation and management and the like. Bado nguzo ipo huoni aibu wewe???????????? naogopa kukupa aka kama alivyofanya mdau hapo juu.
 

ha ha ha ha punguza jazba mkuu you need to learn a lot concerning this trade:CONSTRUCTION BUSINESS IN TANZANIA ESP. WHEN DEALING WITH GOVT OFFICES! usitokwe tu na mapovu! kwanini hujiulizi mtu analipia gharama kuwekewa umeme kwenye jengo lake lakini inawachukua TANESCO MIAKA 2 KUMHUDUMIA! mkandarasi is just doing business na wahusika wamemwambia aachane na nguzo yeye atengeneze barabara! kama huridhiki kawauulize mhandisi na city director kwa nini nguzo ya umeme barabarani!!!!!!!!!!!!!??
 

Hakuna sababu utayotoa itakayomuondoa mkandarasi kwenye lawama ya moja kwa moja.mkandarasi aliyefuzu hawezi fanya huu upuuzi.
 

kama ungesema hili na kuweka ushahidi wala hamna mtu angemlaumu mkandarasi mwenzenu. naona mmekuwa wakali kweli.
 

Kaka kuna watu wanachojua wao ni kutetea tuu...nadhani ni maslahi binafsi
 
Fanya jambo dogo, from the idea-procurement stages-contract implementation and management and the like. Bado nguzo ipo huoni aibu wewe???????????? naogopa kukupa aka kama alivyofanya mdau hapo juu.

sipo concerned na watu wanaopenda kutukana wata,u can as well do that, sawa mkandarasi mwenzenu hana kosa hapo.
 
Hakuna sababu utayotoa itakayomuondoa mkandarasi kwenye lawama ya moja kwa moja.mkandarasi aliyefuzu hawezi fanya huu upuuzi.

Kaka tuko pamoja ila kuna watu inaonesha wana maslahi kwenye hivi vitu, kiukweli kabisa kandarasi.timamu hawezi kuji engage kwenye ujenzi ambao anajua kabisa utamuharibia cv yake.
 
Kaka tuko pamoja ila kuna watu inaonesha wana maslahi kwenye hivi vitu, kiukweli kabisa kandarasi.timamu hawezi kuji engage kwenye ujenzi ambao anajua kabisa utamuharibia cv yake.

ha ha ha ha ila mkurugenzi wa jiji, meneja wa tanesco mkoa na mhandisi wa jiji wao wana akili kwa kushindwa kuiondoa hiyo nguzo???? na wewe ambaye huna maslahi binafsi kwa nini usiwalaum hao watatu kwa kushindwa kuitoa hiyo nguzo ya umeme?????
 
 
Sikiliza mleta mada.....ukiwa na rais kilaza, kila kitu kitakwenda sawa na msimamo wake. Jiulize, unafikiri ingekuwa enzi za Nyerere mkandarasi anajenga kitu namna hii angeachiwa? Unajuwa ni kwa nini? Umepata jibu?
 
Mbeya hii....

Jamani tatizo si mkandarasi nadhani ni "client" Yaani mtoa kazi hakuweza kuandaa utaratibu ambao ungewezesha idara ya tanesco kutoa nguzo hiyo, lakini pia tuwe wakweli kwa kusema hali iliyopo kimahusiano kati ya idara moja ya serikali na nyingine kuwa ni ngumu kiasi cha wakati fulani kuwa rahisi kufanya wawasiliano na nchi jirani na mambo yakafanyika haraka.
 

Daaaaah! nimekuelewa sasa wala sihangaiki na wewe tena,jf yote wanakusaidia but huelewi.... haya endelea kutokwa povu wakati jamaa anapiga hela!!!!!
 
Wakuu narudia tena ukandarasi ni biashara na kamwe siyo taaluma. Swala la cv kama 1 alivyodai halipo hasa kwa nchi kama hii. Huyu ataendelea kupewa kaz hata kesho. Tatizo siyo lake ni mfumo. Wanaolaumu hawajui hii industry inavyoendeshwa hapa tz. Msitoke povu kwa jazba. Hahahaaaa.
 

Upumbavu mmoja hauhalalishi mwingine ndugu....na kwa kuwa sense of humour imeondoka miongoni mwetu ndio maana tunashabikia kila kitu mradi tu eti "mkandarasi anapiga hela"
Hili si jambo la kuentertain sisi kama wananchi...
Wote ni wa kuwajibishwa(mkandarasi,client na tanesco)
 
VITUKO MITAANI NANI ALAUMIWE KATI YA JIJI NA TANESCO MBEYA KWA KITUKO HIKI?



Hii hatari kwa waendesha magari nyakati za usiku hii nguzo ipo barabara mpya jirani ya bustani ya jiji eneo la uwanja wa sokoine jijini Mbeya


Picha yenyewe inajieleza je mnasubiri ajali itokee ndiyo mchukue hatua?



Hii hatari sana

​
 
Mi nawaza hayo mawe kwenye windshield ukipishana na gari lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…