Pamoja na maelezo yako lakini bado kuna mushkeli...Huoni ni hatari sana sana sana tena sana kwa hali ya namna hiyo? Busara zaidi ilibidi kutumika!Tatizo ni mawasiliano. Mjenzi wa barabara alijenga barabara yake akakuta Tanesco tayari ameshasimika nguzo pale. Ufumbuzi ni kuwa Tanesco ahamishe nguzo yake lakini wa kugharamia hiyo kazi ni mwenye barabara (sio mkandarasi). Sasa utakuta mwenye barabara hana kasma ya pesa ya kufanya hiyo kazi ya kuhamisha hiyo nguzo. Kwa hiyo asilaumu mkandarasi mlaumu mwenye barabara kwa sababu alipokuwa akifanya upembuzi yakinifu alipaswa aione hiyo nguzo na aweke hela ya kuihamisha kwenye bajeti yake ya kuijenga bararbara hiyo. Hapo hakuna cha hongo wala rushwa ni upeo tu umepungua kwenye kuona mambo!
Na mji huo una mainjinia wa mji au tanroad na mipango mji wapo?. Isitoshe wameshakabidhiwa hiyo kazi kwa kufunguliwa na mkimbiza mwenge au waziri mkuu. Hivi ikitokea ajali hapo nani wa kulaumiwa? Tuwe serious wakati mwingine bwana tuache masihara na kodi za wananchi. Diwani wa eneo husika jiuzulu kwa msisitizo.
wakandarasi uchwala wasio na weledi, wanadhalilisha taaluma yao. Kazi kwa crb kuwafutia usajili
Swali limejijibu.Na mji huo una mainjinia wa mji au tanroad na mipango mji wapo?. Isitoshe wameshakabidhiwa hiyo kazi kwa kufunguliwa na mkimbiza mwenge au waziri mkuu. Hivi ikitokea ajali hapo nani wa kulaumiwa? Tuwe serious wakati mwingine bwana tuache masihara na kodi za wananchi. Diwani wa eneo husika jiuzulu kwa msisitizo.
Tatizo ni mawasiliano. Mjenzi wa barabara alijenga barabara yake akakuta Tanesco tayari ameshasimika nguzo pale. Ufumbuzi ni kuwa Tanesco ahamishe nguzo yake lakini wa kugharamia hiyo kazi ni mwenye barabara (sio mkandarasi). Sasa utakuta mwenye barabara hana kasma ya pesa ya kufanya hiyo kazi ya kuhamisha hiyo nguzo. Kwa hiyo asilaumu mkandarasi mlaumu mwenye barabara kwa sababu alipokuwa akifanya upembuzi yakinifu alipaswa aione hiyo nguzo na aweke hela ya kuihamisha kwenye bajeti yake ya kuijenga bararbara hiyo. Hapo hakuna cha hongo wala rushwa ni upeo tu umepungua kwenye kuona mambo!
Nope.Tatizo ni mawasiliano. Mjenzi wa barabara alijenga barabara yake akakuta Tanesco tayari ameshasimika nguzo pale. Ufumbuzi ni kuwa Tanesco ahamishe nguzo yake lakini wa kugharamia hiyo kazi ni mwenye barabara (sio mkandarasi). Sasa utakuta mwenye barabara hana kasma ya pesa ya kufanya hiyo kazi ya kuhamisha hiyo nguzo. Kwa hiyo asilaumu mkandarasi mlaumu mwenye barabara kwa sababu alipokuwa akifanya upembuzi yakinifu alipaswa aione hiyo nguzo na aweke hela ya kuihamisha kwenye bajeti yake ya kuijenga bararbara hiyo. Hapo hakuna cha hongo wala rushwa ni upeo tu umepungua kwenye kuona mambo!
Swali limejijibu.
Mkandarasi huwa anajenga kitu alicho amriwa na mktaba kujenga.
Na kazi inakaguliwa kabla ya malipo.
Hicho unachokiona ni kile mlipaji , yaani Halmashauri, ndicho ilitaka kijengwe.
Mkandarasi ni punda ambaye atakwenda tu kule mwenye punda anataka aende.
hivi unajua kwanini upanuzi wa barabara ya ali hassan mwinyi kutoka morocco hadi mwenge unachelewa???!!! ni kwasababu tanesco na dawasco wanachelewa kuhamisha nguzo na mabomba....sasa KONOIKE wangekuwa na akili kama huyo mkandarasi unaemtetea sasa hivi tungeona hicho kituko zaidi ya mara 20 kutoka mwenge mpaka morocco. KONOIKE wanajua kazi yao ndio maana hawaanzi ujenzi hadi maandalizi yatimie. huyo mkandarasi unaemtetea alikuwa ana haki zote kuto kujenga na kusema nguzo ziondolewe kwani ni hatari sio kwake tu ila kwa kila mtu.
Mkuu RRONDO kuna kitu kinaitwa compensation maana mkandarasi yupo site hajakabidhiwa site 100% hapo hao konoike wanahesabu gharama tu mwisho wa siku utakuta gharama halisi ya kazi ni say, 10b lakini mkandarasi kalipwa 16b hiyo 6b ni hasara yetu walipa kodi
kwahio kwenye mkataba ameambiwa weka lami hata ukikuta nguzo katikati??!!