Labda nikusaidie mkuu! Kuna bango waliweka kwenye tovuti yao, wakasema kwa wale wa kuanzia advance diploma kushuka chini muda ndio huu ila kwa wanaotaka kuomba degree waombe kwa vyuo ambavyo tayari viko kwenye list vinavyotambuliwa na NACTE, ila kwa vyuo viingine vitawekwa muda si mrefu kwa udahili wa pamoja naTCU ikiwa bado wanasubiri kidato cha sita nao wamalize. Isikuumize kichwa wataextend muda maana hata Guide book ya pamoja bado hawajaiweka.