Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,130
Yaah kwa porini na maeneo fulani fulani ya vijijini iko chini na huko ndiko halotel na airtel wamejikitaKabisa Chief japo Kwa porini coverage ya Voda iko chini fulani
Yaah kwa porini na maeneo fulani fulani ya vijijini iko chini na huko ndiko halotel na airtel wamejikitaKabisa Chief japo Kwa porini coverage ya Voda iko chini fulani
Ivi Mkuu Airtel na Halotel yupi ana coverage zaidi porini uko?Yaah kwa porini na maeneo fulani fulani ya vijijini iko chini na huko ndiko halotel na airtel wamejikita
Wanategeana ila halotel naona ndo kama yupo juu.Ivi Mkuu Airtel na Halotel yupi ana coverage zaidi porini uko?