HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 369
- 685
Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana .
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS
www.jamiiforums.com
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS
Mix by Yas mnatutesa sana kuanzia huduma zenu mpaka hao huduma kwa wateja yenu
Hizi siku tatiu NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...