Kama nimekuelewa unamaanisha mnyama hana hofu,au hana uwezo wa kujua hiki ni hatari,kwanini akiona mnyama hatari anakimbia?
Bosi hiyo unayoiita akili inakaa ktk sehemu gani ya mwili?Anakimbia kwasababu anaendeshwa na NATURAL TENDENCY kwamba jambo fulani ni hatari hiyo sio akili, mwenye akili ni binadamu tu na sio wanyama---- ni sawa na maji ukiyamwaga chini yatatiririka kuelekea chini hiyo ni natural tendency yake wala huwezi kusema eti maji yanayo akili ndio maana yanatiririka kuelekea chini mabondeni kujaza mito, mabwawa na maziwa.
Natural tendency kwa wanyama ndio instincts /silika.
Aisee,wana uwezo wa ajabu sana,ukiangalia jinsi walivyojishikiza hapo inastaajabisha
Bosi hiyo unayoiita akili inakaa ktk sehemu gani ya mwili?
Iyo ni geotropism ni kawaida n sawa na ww kukua kwa kwenda juuInstinct ni natural tendency na sio akili akili ni ile inayokupa judgements, mfano ukipanda mmea ndani ya chombo kilichoziba na kwa nje utoboe tundu linalopitisha nuru baada ya siku kadhaa huo mmea mmea utafuata hilo tundu na utajitokezea hapo kwenye tundu, je kitendo hicho cha mmea utakiita ni akili au natural tendency??
WanalolitafutaWatalipata nini?
Iyo ni geotropism ni kawaida n sawa na ww kukua kwa kwenda juu
Ipo hivi; Akili na maumbile katika mazingira husika ndio hujenga hofu au kujiamini kwa binadamu, mnyama hana akili kama ya binadamu na maumbile yake katika mazingira hayo yanam favour asiwe na hofu,---- hao mbuzi hawana akili/uwezo wa kukadiria huo umbali kutoka juu hadi chini, ni binadamu tu ndiye mwenye huo uwezo.
Kama unafikiri mbuzi hana akili mweke kwenye ghorofa ya nne ambayo haina guard afu uone kama atajitupa chini kwa kuruka au atatelemka na ngazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au mfungie kwenye banda lenye plate moja kiepe yai na nyingne makande uone utakuta plate ipi iko waz........
Wanaakili sana wale mpaka kucheka wanacheka na umbea juu (wanaongozwa na silika ....instinct)
Nilikuwa sijaona vzur kumbe kuna nuru hapo nikafkr tund la chin ya kopo kwenye mizizNi Phototropism, Geotropism ni mizizi kwenda chini.
Kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba hata mtu kukua mwili kwenda juu ni natural tendency kwani mtu hakui kwenda juu au kunenepa nk, kutokana na utashi wa nafsi yake yaani kutokana na akili yake.
Wako Morocco mkuuDu! hawa wa nchi gani tena, kumbe mbuzi wana uwezo hivi?