Wote wawiliMashetani gani? Man u au CCM?
Tunaumia sana sisi wanazi wa man u sijui lini tutapata nafuu😆😆😆
Daah huwezi amini timu namba moja kwa mashabiki wengi duniani...inapitia hali mbaya sanaaa..kumbe kila kitu kinamwisho aiseee...ile Man U ya Babu Feg itabakia kwny kumbukumbu daima...
Next season mkiwa championship huko, natania.Tunaumia sana sisi wanazi wa man u SIJUI LINI TUTAPATA NAFUU
Watakuwa hawa manyasi maɓichi😆Mashetani gani? Man u au CCM?
Ila we jamaa kumbe na Ccm ni mashetani😂😂😂Mashetani gani? Man u au CCM?
Ni mashetani weusi mkuu.Ila we jamaa kumbe na Ccm ni mashetani😂😂😂
Acha basiNext season mkiwa championship huko, natania.
Niko hapa nasubir kisukari kipande maana hawa watu wanajua kutupandisha kisukari aiseeKaribuni leo Old Trafford, Manchester United wanafunga.