Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,145
Kwa sasa wanajiandaa na kampeni. Tayari wameshatimiza ahadi zao, wapiga kura wao hawana shida yoyote hivyo hawana sababu ya kusema chochote mjengoni
Wabunge wa Chalinze (Ridhiwani Kikwete) na wa Kalenga (Geofrey Mgimwa) wanaendeleaje? Hawa wote ni 'wana mfalme' walorithi mikoba ya uongozi toka kwa baba zao wazazi. Ridhiwani Kikwete ni mtoto wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyewahi kuwa Mbunge wa Chalinze. Naye Geofrey Mgimwa ni mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Kalenga hayati Dr. Mgimwa.
Hawa Wabunge wote wamerithi mikoba ya baba zao katika chaguzi ndogo. Wanaendeleaje Maprince hawa na utimizaji wa ahadi zao? Bungeni wako kimya sana kwakweli.
Maprince ndio nini

Alafu ma princess ndo kina christina Lissu na mtoto wa ndessambulo etii?
Ya kweli haya?
Maprince wamejaa CDM pia hatuwaoni? Tukijadili masuala ya kurithishana au kupeana ubunge tuangalie vyama vyote. Mtei kamwachia mkwe Mbowe kua mwenyekiti wa chama. Ndesa mwanaye mbunge wa viti maalumu lisu dadake angalau hao maprince unaowasema wamegombea jimboni