Maayo
JF-Expert Member
- Jul 21, 2011
- 317
- 48
Kwa hiyo huu ndo ushauri? Kuwa mtuliv basi!!unazijua kwenda wewe? Kwenda ni za mlenda.
Kwa hiyo huu ndo ushauri? Kuwa mtuliv basi!!unazijua kwenda wewe? Kwenda ni za mlenda.
hahahahahaha, usinikumbushie, simu yangu jeuri sana. Ilipoona utamu wa maji ikagoma kutoka.
jamani! Wale walimu wako kiwanja cha ndege, kesho watakuwa wamefika, kazi itaanza keshokutwa. Jiandae.Kwa hiyo huu ndo ushauri? Kuwa mtuliv basi!!
heh! Mshangaooo! Ukijua? Unataka kum pm? Ina lilah!That is a possibility Dadii. Hivi wewe ni mdada au ni mkaka?
sina wivu hata tone, tatizo la viv kila mtu kwake ni honey....Fb..mbn Wivu..sasa...waswahili wanasema..ukisusa..wenzio......!!
sasa maana ya kusema hukuwahi kuwa na mwanaume ni nini?mi wapi nilisema w mi bikra
khaaaa!!! Negative attitude.Una vigezo!??Yaani kumbe thread yote hii...shida yako ndo hii!!!
Umeshinda..sitaki kubishana na wewe na pumba zangu!khaaaa!!! Negative attitude.
Utasoma wewe mwenye matatizo.jamani! Wale walimu wako kiwanja cha ndege, kesho watakuwa wamefika, kazi itaanza keshokutwa. Jiandae.
First born hapo kwa Mentor umetenda sio haki, Sincerely speaking from my heart. If we grade great thinkers here, He rank in the Top 50's. Someone correct me If am wrong. Am just saying this from the depest of my heart if you understand.
I respect Mentor...he is always analytical.
usishangae.(sina wivu hata tone, tatizo la viv kila mtu kwake ni honey.)
- kwahiyo Fb..hata.. mm ..Viv ataanza kuniita Honey..Beb..duh...