Hawa machizi kupona baadae saaana!

Hawa machizi kupona baadae saaana!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Dokta wa vichaa aliwachukua machizi wawili na kuwaingiza kwenye chumba chenye giza totoro.Akawasha tochi kisha akawaambia wale machizi wapande ule mwali wa mwanga kisha waelekee makwao. Chizi wa kwanza akaanza kuurukia ule mwali wa mwanga bila mafanikio huku chizi mwenzie akiwa anagaragara chini hoi kwa kicheko.Yule dokta akamuuliza yule chizi ni kwanini anacheka vile;yule chizi akamjibu:mi nimeshakustukia mpango wako,unataka tukipanda huo mwali wa mwanga uzime tochi yako halafu sisi tuanguke chini!
 
Duuuh huyo chizi wa mwisho balaah!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahahahahahahahahaha
jf raha tupu
 
Hahahaha...mmmh

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahahaaaa Hahahaaaa nimecheka sana mpaka nimejamba..!!

وكنت تحتاج إلى أن يكون العين من جنون المجموعة الثانية
 
وكنت تحتاج إلى أن يكون العين من جنون المجموعة الثانية

هههههههه ههههه ممكن
 
هههههههه ههههه ممكن

لذلك لماذا؟
 
لذلك لماذا؟

انا ما ادري كيف انت تدري
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom