Hawa mabibi wa Urusi wanaotutongoza gmail ni wa kweli?

Hawa mabibi wa Urusi wanaotutongoza gmail ni wa kweli?

Russia wana mail.ru, yandex.ru na matako. Ru
Hizo Gmail ni waghana na wanaijeria baba..
Huyo Olga ungetakiwa umjibu kwa kirusi shezi zake mnigeria huyo
 
Russia hawatumii Gmail wala hawana Google hao ni Wanaigeria/Ghana so jipange kisaikolojia kuna Suprise unaandaliwa ya kutapeliwa...........


Kama unataka mademu wa kizungu wakali, wanao kutongoza wenyewe niambie nikupe link..........
Nipe mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza mwingine anakutafuta FB anakuomba email ukimpa anaku block fb, anaweza akasema anakutumia vtu mwisho wa siku utasikia kapungukiwa pesa kidogo anakuomba muongezeee, Wengine hutokea Senegal,Nigeria, Ghana na husema wapo kambi ya wakimbiz mara alkuwa anawazazi matajiri hvyo pesa zpo USA kwenye akaunti inahtaji mtu mwenye akaunt aingize azpate mwisho anakuomba namba zako za Nyuma ya ATM Card ambazo mtu zile akizjua wakat umempa na majina anaweza kutoa pesa ktk akaunt yako ndomana ukipoteza ATM Card karipot waifungie ucje kulzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia hawatumii Gmail wala hawana Google hao ni Wanaigeria/Ghana so jipange kisaikolojia kuna Suprise unaandaliwa ya kutapeliwa...........


Kama unataka mademu wa kizungu wakali, wanao kutongoza wenyewe niambie nikupe link..........
Haya sasa tapeli mwingine huyu

Kada wa kwenye CCM mpya
 
Wanaume wanataka/wanatafuta mademu wanaowatongoza! ?Meaning uje kuhudumiwa na demu?
Kweli wanaume wamebaki wachache. ....
Wamama leeni watoto wenu wakiume vyema taifa linaangamia.
Kweli unakuja na uzi wa aibu kiasi hiki halafu unaona poa tu? ??
Walio wanaume humu ndani ebu wasaidieni hawa wenzenu tunakwisha Aisee
 
Russia hawatumii Gmail wala hawana Google hao ni Wanaigeria/Ghana so jipange kisaikolojia kuna Suprise unaandaliwa ya kutapeliwa...........


Kama unataka mademu wa kizungu wakali, wanao kutongoza wenyewe niambie nikupe link..........
vkontakte.ru
 
Majuzi katika pitia pitia ya account yangu ya GMAIL nikakuta sms ya mdada wa kirashia katuma ujumbe, sikutaka kumjibu nikamwambia tu km unandoto ya kuja tz ntamie Tena barua, akatuma ujumbe huu........

Hi!
Sorry for long time answer. Unfortunately I can write letters only when I am on work. My home computer has broken. It already old and probably not to repair it. I hope that now you understand why I cannot write you the answer at once.
Tell me about you and send photos.
Now I on work, am convenient to write me letters from work. I will tell to you about my work. I work in the company which is engaged in manufacturing and sale of doors. I work as the manager. As I am engaged in that that I accept demands for manufacturing and installation of doors. The demands acceptance enters into my duties from the companies or private persons.
My working day begins in 9 o'clock in the morning and comes to an end at 18 o'clock in the evening. I work from Monday till Friday but sometimes I should work and on Saturday. I work on the speciality. I have a higher education. I am the manager. I have finished the training by a trade "Management"
Tell to me where you work? You like your work? I think that work it very important.
In my last letter I have written to you that I live in Russia. But probably you know that Russia very big?) I was born and I live in city Velsk. It is a town in Arkhangelsk Oblast, Russia. What you know about my city? I like to live in my city. I would want that you have looked on my city on the Internet. I hope that to you interestingly to learn where I live. And it is interesting to me to learn all about your city.
Write me the name of your city and I will search too for it on the Internet.
I should inform you on that that I cannot write many letters. I will try to explain to you. My director very strict woman, and I try to write to you of the letter only when she does not see. My director says, that on work I should work only. I understand it and on it I try not to distract and work very attentively. It is forbidden to me to use such programs, as Skype or social networks. All social networks are blocked for this purpose, what managers worked and received profit on our company.
Tell to me, that you think of our acquaintance. You have been surprised by what I have written you the letter? You wish to communicate with me? I search for serious relations and for me important that we always would speak each other only the truth. I want, that ours with you dialogue has been based on trust.
Today I will send you photos, and I will be glad to see your photos in the new letter.
Now I should continue to work.
Thanks for attention!
I hope, that my letter for you was not boring.
I wish you beautiful and a sunny day!
Olga.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Dume la kinaijeria .wezi tu hao achana nao
 
Unakuta ni bonge la dume jeusiii limekaa nyuma ya keyboard na minywele yake miguuni linafanya kitu cha making money from Home, mijambazi ya mtandaoni hii...wamarekani, wanigeria, wasenegal, waghana na waganda ndio wenye mambo ya kishamba namna hii
 
wee una hela gani nitayo weza kukutapeli ?? Tumia busara kuficha upumbavu wako..
Mkuu na mimi naomba hako ka link kalikoonbwa na wengi
[emoji12] [emoji12] [emoji12]

*You get what you work for not What you wish for*
 
Russia hawatumii Gmail wala hawana Google hao ni Wanaigeria/Ghana so jipange kisaikolojia kuna Suprise unaandaliwa ya kutapeliwa...........


Kama unataka mademu wa kizungu wakali, wanao kutongoza wenyewe niambie nikupe link..........
Nipe link
 
Daaah umenikumbusha mbali kipnd nipo form six nshapataga zali la zaidi ya sms 50 za hvo but nlkua na akili yakujiongeza nliachana nao japo wana maneno mazuri mno

Labda uwe una wainjoi tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soon atakwambia kuna mteja aliweka order ya $100,000,000/= kwa ajiri ya milango ila keshafariki na hiyo mipesa ni yeye tu ndio anajua... kwa hiyo mtumie bank details zako akutumie. Kabla kukutumia atakwambia utume pesa kwa ajiri ya kuprocess hilo deal... Ukituma tuuu. USHALIWAAAAAAAAA nawajua hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mmama bado anaendelea kunisumbua. hii sms yake ya Leo baada ya kumkaushia sms iliopita .....


Hello!
You have not answered my letter... You do not wish to communicate with me? If it is interesting to you to continue our dialogue that write me the letter. I will wait your answer.
Olga!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom