Hawa mabibi wa Urusi wanaotutongoza gmail ni wa kweli?

Hawa mabibi wa Urusi wanaotutongoza gmail ni wa kweli?

Huyu mmama bado anaendelea kunisumbua. hii sms yake ya Leo baada ya kumkaushia sms iliopita .....


Hello!
You have not answered my letter... You do not wish to communicate with me? If it is interesting to you to continue our dialogue that write me the letter. I will wait your answer.
Olga!


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe waenjoy tu,ila tambua ni matapeli.
 
Kweli kabisa, ni matapeli wa kutupwa, mwisho wa siku alitaka nimtumie nauli ili aje TZ
 
Russia hawatumii Gmail wala hawana Google hao ni Wanaigeria/Ghana so jipange kisaikolojia kuna Suprise unaandaliwa ya kutapeliwa...........


Kama unataka mademu wa kizungu wakali, wanao kutongoza wenyewe niambie nikupe link..........
Wise words
 
Kuna waNIGERIA wawili walimtapeli mmexico don mamilion ya pesa jamaa akawavungia kama haijamuuma akawatumia pesa ili waende mexico kuna deal kubwa zaidi akawatumia plane ticket, jamaa si wakaenda kilichowakuta, jamaa walibanikwa kwenye makaa ya mawe wakiwa wazima wakachukua videos wakazipost kwenye contacts zao zilizokuwa kwenye namba zao za simu
 
Nigeria wanapenda sana kutumia fursa mzee baba kuwa makini mimi mwenyewe yashanikuta ayooo
 
Back
Top Bottom