DOKEZO Hawa maafisa mipango miji, hili likoje?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!

Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.

Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .

Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo

Ahsanteni.
Ni kweli Dom kwa hii ishu wamezingua sana.
 
Kuna babu mzanzibar aliuza eneo la wazi la Gymkhana Dar ,wakati akiwa magogoni, pakajengwa hotel. Alikoendaga huyo Babu asirudi Tena.
 
kama unatokea stendi nanenae ukifika kisasa (meriwa) upande wa kushoto karibu na makaburi ya kisasa kulikuwa na eneo la wazi labda kama litakuwa limebadilishiwa matumizi
 
Bora hata Dodoma Kuna Open space Nyerere square. Unaweza ukasogea hapo ukapumzika.
Miji mingine hakuna hicho kitu Kila sehemu kumejazana nyumba tu Mji haupumui.
Ukitaka kupumzika tofauti na nyumbani kwako inakulazimu uende sehemu za kulipia kama Bar
 
Naona wanalinyemelea wajengaji!
 
Bora hata Dodoma Kuna Open space Nyerere square. Unaweza ukasogea hapo ukapumzika.
Miji mingine hakuna hicho kitu Kila sehemu kumejazana nyumba tu Mji haupumui.
Ukitaka kupumzika tofauti na nyumbani kwako inakulazimu uende sehemu za kulipia kama Bar
Mipango mibovu sana!
 
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!

Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.

Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .

Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo

Ahsanteni.
Wanakuwekea viwanja vya makazi na biashara, ili baa zijengwe watu tukale michemsho na kunywa pepsi au castle lite baarriiiidi..

Hayo mambo ya michezo watayajua wapi hao maafisa mipango miji ambao wana vitambi vya rushwa?
 
Hivyo vitambi vitawagharimu uzeeni!
 
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!

Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.

Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .

Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo

Ahsanteni.
Watengeneze na block za round about wao ni block za mabox tu kama Uingereza au kwa vile tulitawaliwa na Muingereza.
 
Back
Top Bottom