DOKEZO Hawa maafisa mipango miji, hili likoje?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
12,212
Reaction score
17,005
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!

Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.

Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .

Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo

Ahsanteni.
 
Wanasubiri wanasiasa waseme waonekane wanawafundisha kazi

Pia makusanyo ndio tatizo, kiwanja au viwanja vinachukua eneo kubwa na hakuna pesa itaingia kwa haraka tofauti na viwanja vya makazi, biashara, viwanda, taasisi nk

Ni mtazamo

Muhimu waangalie hilo suala la kutenga maeneo ya michezo, sio tu kutenga maeneo ya Wazi (OP) bali maeneo maalum kwa ajili ya michezo.

Maana maeneo ya wazi matumizi yanabaki kuwa ni mtambuka
 
Kweli mkuu,tunahimizwa tufanye mazoezi Lakini viwanja hakuna! Kwenda Gym uwe na hela, Sasa tutaponaje na Haya magonjwa?
 
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!

Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.

Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .

Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo

Ahsanteni.
Popote utakapoona kiwanja kimetengwa jua hilo ni eneo la CCM usijidanganye sijui kiwanja cha michezo hakuna kitu km hicho kiwanja cha wazi chochote unapokiona hata km kimewekwa magoli ni cha CCM
 
🤣🤣🤣🤣 eti hata kama kimewekwa magoli
Ndio namwambia ajue kuna viwanja vipo kibao vimetengwa na watu wameweka magoli wanacheza mpira wakifikiri vimetengwa na serikali kwa ajili hio kumbe ni viwanja vimetengwa na CCM kwa ajili ya kujenga ofisi zao siku za mbeleni
 
Kweli mkuu,tunahimizwa tufanye mazoezi Lakini viwanja hakuna! Kwenda Gym uwe na hela, Sasa tutaponaje na Haya magonjwa?
Viwanja vya wazi sio vya Serikali hakuna kiwanja cha Serikali unachotuhusiwa wewe kwenda na watoto wako mkaweka magoli mkacheza mpira viwanja vyote unavyoona vimewekwa magoli watoto wanakutana wanacheza ni vya CCM elewa hivyo na kuna muda unafika hua wanakuja kuvichukua viwanja vyao na kujengea ofisi zao
 
wanavitenga sema wezi wanavibadili matumizi akafu wanaviuza au makampuni mengne yanapanga eneo dogo hivyo hawaviweki alafu wanapanga tena eneo dogo then chain inaendelea
 
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!

Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.

Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .

Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo

Ahsanteni.
Ukiingia kwenye master plan original utakuta vipo ila wame amend plan na kujigawia wao maafisa ardhi na vigogo wengine na kuviuza.
 
Viwanja vya wazi sio vya Serikali hakuna kiwanja cha Serikali unachotuhusiwa wewe kwenda na watoto wako mkaweka magoli mkacheza mpira viwanja vyote unavyoona vimewekwa magoli watoto wanakutana wanacheza ni vya CCM elewa hivyo na kuna muda unafika hua wanakuja kuvichukua viwanja vyao na kujengea ofisi zao
Kwa hiyo hakuna viwanja vya wananchi!
 
Ndio namwambia ajue kuna viwanja vipo kibao vimetengwa na watu wameweka magoli wanacheza mpira wakifikiri vimetengwa na serikali kwa ajili hio kumbe ni viwanja vimetengwa na CCM kwa ajili ya kujenga ofisi zao siku za mbeleni
aisee huzuni tupu👿
 
Hao maafisa Mipango Miji ni wa CCM!
 
Popote utakapoona kiwanja kimetengwa jua hilo ni eneo la CCM usijidanganye sijui kiwanja cha michezo hakuna kitu km hicho kiwanja cha wazi chochote unapokiona hata km kimewekwa magoli ni cha CCM
Duuh,sikulijua Hilo!
 
Kama mdau alivyosema hapo viwanja vingi vinamilikiwa na ccm, wakiamua wanavibadili matumizi tu.

Tumie vile vya shule, bahati mbaya miji mingi shule hazina viwanja vya michezo.
 
Back
Top Bottom