Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,303
- 29,875
Hawawezi kunitapeli. Kubonyeza namba yangu ya siri sio rahisiWanaijeria au wafilipino hao. Watakupiga ukiendelea nao
Nitakwenda tuHapo huwez toboa kwenda majuu we endelea kutumia boom lako vzr
Tuongee basi pm mkuu nina shida ya American visaTuma hela ya visa mkuu watu wale maisha hapa hapa bongo.
Sina namba zaoHao ni scammers wa Nigeria kina huspup, ukiona advert yeyeto then ukaombwa pesa yeyeto jua wewe ndie dili. Uhakika zaidi wasiliana na embassy husika Wana majibu mazuri ya hakika.
Poa nipo tayariNenda katolewe figo. Pia makundi ya kigaidi nayo yana advert kama hizi Ili kupata wapiganaji, makahaba, punda wa kuwauzia Unga, nk.
Ukija PM yangu mimi nitakutapeli tu mzee wala usijisumbue.Tuongee basi pm mkuu nina shida ya American visa
NAKUSHAURI TU ACHANA NAO.Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.
Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card.
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203641
Ukweli kuna kazi nyingi na pia Wanatakiwa watu wapewe uraia Canada! Kama Upo Dar nenda Ubalozini Kwao- watakupa Address na Link za Wanaousika kikwelikweli!! Kuna Mtanzania anawakilisha makampuni ya Canada yanataka Madereva wa Malori 1000+ ila mpaka sasa bado anaendelea na mazungumzo na TAESA na Chuo cha NIT juu ya namna ya kufanya nao kazi ya Kutest na kuwachaguwa Madereva wazuri! Siasa ndo Tatizo hapa Kwetu ingekuwa Kenya tayari vijana wangekuwa now wapo CAnada wanapiga kazi na tayari wangeshakuwa DiaspolassNimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.
Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card.
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203641
Upo tayari wakati unufaiki,wanatoa viungo vyote kisha unatupwa porini au bahariniPoa nipo tayari
Upo tayari wakati unufaiki,wanatoa viungo vyote kisha unatupwa porini au baharini
Nenda ubalozini utapewa muongozo ukizubaa utadukuliwa
Nipe connection mkuu. Au nitumie namba akoUkweli kuna kazi nyingi na pia Wanatakiwa watu wapewe uraia Canada! Kama Upo Dar nenda Ubalozini Kwao- watakupa Address na Link za Wanaousika kikwelikweli!! Kuna Mtanzania anawakilisha makampuni ya Canada yanataka Madereva wa Malori 1000+ ila mpaka sasa bado anaendelea na mazungumzo na TAESA na Chuo cha NIT juu ya namna ya kufanya nao kazi ya Kutest na kuwachaguwa Madereva wazuri! Siasa ndo Tatizo hapa Kwetu ingekuwa Kenya tayari vijana wangekuwa now wapo CAnada wanapiga kazi na tayari wangeshakuwa Diaspolass
Kwahiyo wewe ni tapeli sindioUkija PM yangu mimi nitakutapeli tu mzee wala usijisumbue.